Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hiyo 85% kwa research ipi?
Duu Manchester United wamekua kama Liverpool enzi hizo tunakamia gemu kubwa aafu tunakutana na QPR, Wigan nk tunachezea balaa..
Watu waliwapinga na kuwachukia mitume na manabii sasa hao wachezaji ni akinanani labda wasipingwe. Afuu usichokijua ni kwamba 85%ya washabiki wenye fahamu zilizotulia wa LFC wanajua kua hendo ni shit tu anapokua kwenye pitch
Nb:akifanya mazur twamsifu akizingua tunamsema maana anakiwango kikubwa cha shit kuliko mazur anayofanya
Ova
Wachezaji wenzake wanamkubali 95% na wanajua mashabiki hawamkubali Sana.Jingaaaaa
Unatembelea social network??je huwa unasoma comment?? Kama huwa hufanyi hivyo bas jaribu kuanzia kufanya uchunguzi humu jf kwenye hii threadHiyo 85% kwa research ipi?
Ninachokihitaji mimi ni kuletwa kwa research iliyofanywa ili kuhararisha hiyo 85% kwamaba wameona Hendo ni shit. Vinginevyo ni makosa sana kufata mikumbo isiyo ya lazimaUnatembelea social network??je huwa unasoma comment?? Kama huwa hufanyi hivyo bas jaribu kuanzia kufanya uchunguzi humu jf kwenye hii thread
Nakubaliana na maelezo haya!Wachezaji wenzake wanamkubali 95% na wanajua mashabiki hawamkubali Sana.
Wanasema ni kiongozi mzuri kuwatia moyo.
Hata juzi kwenye semi alipocheza centre back hawakutia Shaka.
So Apewe support
Madai yangu ni kuwa hii 85% imetoka chanzo kipi cha habari na ambacho ni more reliable?Pitia Official Page ya Liverpool ya Twitter
Pitia Official Page ya Liverpool ya Insta
Pitia Official Page ya Liverpool ya Facebook
Pitia ukurasa wa LiverpoolEcho
Ukimaliza hapo
Pitia unofficial Pages zote za Liverpool kwenye mitandao ukiwemo Uzi huu.
The do simple Research kupitia reaction za Mashabiki.
Sisi tayari tumeshapita humo ndiyomana tunayasema haya.
Hapa hakuna uliyemuekea Bajeti ya kukufanyia Research.
Sio kuhararishwa ni kuhalalishwa acha upuuzi usibishebishe tu bila sababu upate umaarufu humu . sasa mtu hata kuandika lugha yako ya taifa kazi afu unataka uje usumbue humuNinachokihitaji mimi ni kuletwa kwa research iliyofanywa ili kuhararisha hiyo 85% kwamaba wameona Hendo ni shit. Vinginevyo ni makosa sana kufata mikumbo isiyo ya lazima
Mkuu huyu jamaa anatafuta umaarufu nadhaniPitia Official Page ya Liverpool ya Twitter
Pitia Official Page ya Liverpool ya Insta
Pitia Official Page ya Liverpool ya Facebook
Pitia ukurasa wa LiverpoolEcho
Ukimaliza hapo
Pitia unofficial Pages zote za Liverpool kwenye mitandao ukiwemo Uzi huu.
The do simple Research kupitia reaction za Mashabiki.
Sisi tayari tumeshapita humo ndiyomana tunayasema haya.
Hapa hakuna uliyemuekea Bajeti ya kukufanyia Research.
Jikite kwenye hojaSio kuhararishwa ni kuhalalishwa acha upuuzi usibishebishe tu bila sababu upate umaarufu humu . sasa mtu hata kuandika lugha yako ya taifa kazi afu unataka uje usumbue humu
Hakika klop ni kocha bora sana. Anachukua average player anatengeeza best teamWameshindwa maana tulikuwa tupo vibaya miaka mingi wameshindwa, sasa hivi hawata weza hata wakinunua wachezaji wa gharama,na wachezaji wetu wa timu itakayoshuka daraja tunajichukulia mchezaji na wengine walioachwa tunajichukulia bure wanakuja kuwa world class player.klopp mtu mbaya sana
Sent from my iPhone using JamiiForums
Unataka hoja gani labda?? Sasa kama kuandika hujui nikileta hoja utaelewa?Jikite kwenye hoja
Acha chuki kwa mwandamu mwenzako na jitafakaliSio kuhararishwa ni kuhalalishwa acha upuuzi usibishebishe tu bila sababu upate umaarufu humu . sasa mtu hata kuandika lugha yako ya taifa kazi afu unataka uje usumbue humu
Nadhani hata wewe hujakamilika kibinadamu.Unataka hoja gani labda?? Sasa kama kuandika hujui nikileta hoja utaelewa?
Shabiki wa nyumbu elewa hili humu sio kwa baba paloko ukija ovyo unakula za usoNadhani hata wewe hujakamilika kibinadamu.
Hebu na wewe tazama hapo nilipoweka rangi nyekundu. Baada ya nukta unatakiwa uanze na herufi kubwa badala yake umeanza na herufi ndogo. Ni makosa makubwa.Sio kuhararishwa ni kuhalalishwa acha upuuzi usibishebishe tu bila sababu upate umaarufu humu . sasa mtu hata kuandika lugha yako ya taifa kazi afu unataka uje usumbue humu
Mimi ni Liverpool pure tena shabiki kindakindaki wa Henderson. Achana na hiyo avaterShabiki wa nyumbu elewa hili humu sio kwa baba paloko ukija ovyo unakula za uso
Unakurupuka unakuja kutetea shudu humu ulitegemea nn labda?
Anhaa kumbe shabiki wa henderson na liverpool basi mkuu uwe na mchana mwema .Mimi ni Liverpool pure tena shabiki kindakindaki wa Henderson. Achana na hiyo avater