Hahahahaha,huu uzi umekuwa wa moto sana siku hizi.'Bring on Saturn!' - World champions Liverpool ready to take on the universe
'Bring on Saturn!' - World champions Liverpool ready to take on the universe | Goal.com
Liverpool wrapped up an incredible 2019 by beating Flamengo in the Club World Cup final on Saturday and look perfectly placed for an even bigger 2020www.goal.com
Spot on!Before Klopp revolution ya Fullbacks I was very interested na Fullbacks zinazokaba zaidi hasa kwenye 1to1 situation, But now namrate zaidi FB kwenye kushambulia na kucreate nafasi kwa Forwards kuliko kukaba.
That's why ninajuwa wazi kuwa TAA kwenye kukaba ni totally shit even Ki-Jana anaweza Kuwa bora kuliko yeye achana na Bissaka.
But TAA namkubali muda wowote mbele ya Bissaka kwa ushambuliaji wake.
Bissaka simkubali kuja Liverpool hata kwa free agent coz anaweza kucheza misimu miwili mfululizo bila ya kuwa na assist hata moja.
He's not Klopp's type of player
December ishaisha hii...hao Leicester City tunawachapa tu hiyo 26thHahahahaha,huu uzi umekuwa wa moto sana siku hizi.
Mbwembwe kibao,mshindwe kunenepa tu.
Malizeni kwanza hii disemba mkiwa salama ndio muanze kutapika fujo zote,its not over yet King Ngwaba
Before Klopp revolution ya Fullbacks I was very interested na Fullbacks zinazokaba zaidi hasa kwenye 1to1 situation, But now namrate zaidi FB kwenye kushambulia na kucreate nafasi kwa Forwards kuliko kukaba.
That's why ninajuwa wazi kuwa TAA kwenye kukaba ni totally shit even Ki-Jana anaweza Kuwa bora kuliko yeye achana na Bissaka.
But TAA namkubali muda wowote mbele ya Bissaka kwa ushambuliaji wake.
Bissaka simkubali kuja Liverpool hata kwa free agent coz anaweza kucheza misimu miwili mfululizo bila ya kuwa na assist hata moja.
He's not Klopp's type of player
Don,huyo ndo yule tajiri na bingwa wa kukokotoa fizikia ....kwa akili anazoHumu ndani ukitumia akili sana utajiumiza, BTW una akili za kutumia?
Hahahahaha,huu uzi umekuwa wa moto sana siku hizi.
Mbwembwe kibao,mshindwe kunenepa tu.
Malizeni kwanza hii disemba mkiwa salama ndio muanze kutapika fujo zote,its not over yet King Ngwaba
Don,huyo ndo yule tajiri na bingwa wa kukokotoa fizikia ....kwa akili anazo
Watu waliwapinga na kuwachukia mitume na manabii sasa hao wachezaji ni akinanani labda wasipingwe. Afuu usichokijua ni kwamba 85%ya washabiki wenye fahamu zilizotulia wa LFC wanajua kua hendo ni shit tu anapokua kwenye pitchHumu kuna watu wengi wajingawajinga tu, msinichukulie vibaya ila Hamuheshim wachezaji wenu
Unakuta lijitu linamchukia mchezaji wa timu wake bila sababu yoyote au sababu za kijingakijinga
Mpaka unajiuliza ivi inaakili kweli
Sent from my iPhone using JamiiForums
It is tricky month not only to Liverpool, but for them as well! We will keep fighting till dawn!Actually early January I guess 5th we have Everton for FA Cup lol..
Then we have Spurs, Manu, Wolves.. Quite a tricky period for us...
Hiyo 85% kwa research ipi?Watu waliwapinga na kuwachukia mitume na manabii sasa hao wachezaji ni akinanani labda wasipingwe. Afuu usichokijua ni kwamba 85%ya washabiki wenye fahamu zilizotulia wa LFC wanajua kua hendo ni shit tu anapokua kwenye pitch
Nb:akifanya mazur twamsifu akizingua tunamsema maana anakiwango kikubwa cha shit kuliko mazur anayofanya
Ova
Kila timu ishinde mechi zake hakuna namna...It is tricky month not only to Liverpool, but for them as well! We will keep fighting till dawn!
Duu Manchester United wamekua kama Liverpool enzi hizo tunakamia gemu kubwa aafu tunakutana na QPR, Wigan nk tunachezea balaa..
I conquer with you mkuu, kila mtu ashinde za kwake safari hii hakuna kubebana! Nakumbuka sana mwaka Jana tulivyowategemea Chealsick na Manure watusaidie kumsimamisha Manshit hapo kwa mechi moja tu, jamaa wakaachia! Safari hii huo msaada hatuutaki tena!Kila timu ishinde mechi zake hakuna namna...
YNWA