Walichobakiza sasa ni kushangilia timu za Women League maana huko ndiko wanashinda. Huku kwa wanaume tumewanyoosha! Manure wana taabika sana mwaka huu! Kufungwa leo kwa hao madogo wala hatuwezi kuwalaumu hata kidogo, KALA BAO ni kitu gani kwetu? We are aiming high!!Wamekaa mwaka mzima wakiombea Liverpool FC afungwe, hajafungwa...sasa furaha yao ni leo kwa watoto wetu. Watu wa hivi ni kuwapuuza tu mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kila uchafu ni mzuri. Uchafu mwingine unaambatana na chawa
Carabao tumechukua mara 8 kama sijakosea...anayefuata kachukua mara 4.....Subiri msogee kidogo then tutakuwa serious nalo
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo tukishinda tunakipiga na Flamengo kwenye Fainali
Walichobakiza sasa ni kushangilia timu za Women League maana huko ndiko wanashinda. Huku kwa wanaume tumewanyoosha! Manure wana taabika sana mwaka huu! Kufungwa leo kwa hao madogo wala hatuwezi kuwalaumu hata kidogo, KALA BAO ni kitu gani kwetu? We are aiming high!!
Sijutii kuwaangalia VIJANA wamepiga soka. Matatizo machache tu wanayo. Usiku mwema wana REDS
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii carabao naona dharau nying [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23]
Et ooh tunataka
Uefa
Super cup
Epl
World cup,
Hata hivyo juu vinaweza kupita kushoto kuku nyie
Sent using Jamii Forums mobile app
kumbuka, hapo kuna vijana 5 majeruhi wanaoanza, wawili wapo qatar........ kifupi u 23 yetu ipo vizuriUkitoa magoli, watoto walicheza mpira Kama ilivyo liver ya wakubwa. Wameonesha performance kubwa sana. Magoli mengi yalitokana na makosa madogo madogo na kukosa uzoefu. Elliot ameiva anaweza kuchezea timu ya wakubwa.View attachment 1295865
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya ni maneno ya kujifariji baada ya kuchakazwa ipasavyo. Umekula Hamza 5 bila tena bila huruma
Inaonesha ulikuwa unaweweseka kuisubiri Liverpool ifungwe?
Kwavile hakuna Mtu anayesubiri kuiona Chelsea ikifungwa! Hii kuisubiri Liverpool ifungwe ina maana kubwa sana katika kutafsiri Ukubwa wa Timu.