Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Timu England ni Chelsea tu..
Ninyi Liverpool munaiga tu ..
Raundi ya pili mutapotea tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu England ni Chelsea tu..
Ninyi Liverpool munaiga tu ..
Raundi ya pili mutapotea tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
hawa Aseno hawa....daaah!"wale tutakaoishangilia Aseno leo dhidi ya Mansite tukutane hapa......"
hahahaaa....... watu noma sana!
Mkuu mauchungu yamepungua mpaka unaonekena humu..Timu England ni Chelsea tu..
Ninyi Liverpool munaiga tu ..
Raundi ya pili mutapotea tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha lol fingers crossed King...Kwa Neymar bora nibaki na Henderson kuliko kusajiliwa Neymar akaja kuiharibu dressing room.
Lakini kwa Mbappe! Nipo tayari timu nzima iondoshwe abaki VVD na Alisson peke yao.
Yaaani nikiwaangalia nakumbuka tulipotoka enzi ya akina Jerry Spearing, Joe Cole nk..Hawa Arsenal kwakweli wanapitia kipindi kigumu
Ohh man... Initially alikua awe nje ya uwanja Kwa wiki 6 sasa kwa vile ni jeraha la kujirudia yaaani aliumia akapona aafu akaumia tena goti hilo hilo, sasa kutokana na hilo amepewa muda wa kutosha apone aafu atafute match fitness ina maana kwa kurejea uwanjani ni kuanzia 2020 Januari...guys jana niliulizia up date kuhusu matip ila sikupata mrejesho wowote sasa sielewi ni kwamba hakuna anayejua kuhusu matip au mmeignore!
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani binafsi Bora hata na Hilo dili la Nike livunjike turudi kwa NB kuliko kumtoa mane na pesa ili kumleta mbape...kwanza ni dharau hata kufikiria tuNike wanajipanga kuingia kwa kishindo tetesi ni kwamba atue Mbappe au Neymar...
Ishu ni Klopp aafiki na Real(Mbappe) na Barca(Neymar) wachemke..
Upo uwezekano PSG kudai Mane aunganishwe kwenye dili ya yeyote kati ya hao wawili..
Kwangu bora tuwakose na Mane abakie..
Sijawahi kushabikia timu nyingine yoyote Wingerezani zaidi ya Liverpool. Leo navunja mwiko kwa kushabikia timu tatu kwa pamoja...
Kila la kheri Arsenal the Gunners. Mungu awapiganie mshinde salama
Everton mbarikiwe sana na Yehova
Wolves Mungu ang'arishe meno yenu muweze kula kwa amani
Naomba na kushukuru. AMEN
Tottenham ni mshindani mpya na hacheki na mtuNadhan kila Mwana Liverpool anaiombea arsenal leo...nafsi zetu zinataman man city afungwe..mi ndo nawaogopa sana kuliko hawa Leicester City
Kwa sharti hilo nawabakie hukohuko.. kipi ambacho atatupa neymar mane hana?!!Nike wanajipanga kuingia kwa kishindo tetesi ni kwamba atue Mbappe au Neymar...
Ishu ni Klopp aafiki na Real(Mbappe) na Barca(Neymar) wachemke..
Upo uwezekano PSG kudai Mane aunganishwe kwenye dili ya yeyote kati ya hao wawili..
Kwangu bora tuwakose na Mane abakie..
Walete pesa na Mbape tuwape Mane, kwisha maneno!!Yaani binafsi Bora hata na Hilo dili la Nike livunjike turudi kwa NB kuliko kumtoa mane na pesa ili kumleta mbape...kwanza ni dharau hata kufikiria tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mauchungu yamepungua mpaka unaonekena humu..
Yaliyojiri wakati umejipiga ban
Tuliwafunga Blue wenzio majirani wetu
Reds Majogoo OG wametinga 16 bora UCL..
Klopp kaongeza mkataba mpaka 2024
Milner kaongeza mkataba mpaka June 2022..
Tumenasa kifaa cha kijapani mapema kinatua Anfield..
Tumemfunga Watford na Kuongoza EPL Kwa tofauti ya pointi 10...
YNWA