Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi Gerrad kunakipi kafanya kwenye ukocha mpaka anapigiwa chapuo baada ya Kloop?
Mana hata uongezaji wao mikataba inafanana

Sent using Jamii Forums mobile app

Kuifanya Rangers kua Title contender against Celtic

Kuifanya Rangers kuqualify from group stage ya Europa League baada ya miaka mingi.

Vilevile yupo Rangers kwa ajili ya Kugain experience kwenye coaching.

Maswali ya msingi:
1) Ivi kuna kipi Pep alifanya kwenye ukocha mpaka akapewa Barcelona iliyomfanya mpaka leo yupo hapo alipo?
2) Kuna kipi Lampard alikifanya kwenye ukocha mpaka akapewa Chelsea?
 
IMG_6929.JPG

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ni vile sijui football management, ila kiukweli naona ni kama tutarudi nyuma kiasi.

Labda kama Gerrard angekuja kukaa na Klopp kwa angalau miaka 2. Ili kama ana retain team iwe team anayoifahamu.

Ngoja tuone itakuwaje.

Hiyo nakaribia kusema ni lazima ingawa sio lazima akiondoka Klopp kwanza tutapitia wakati mgumu hata aje kocha gani!
Lakini kama nilivyotabguliza mwanzo si lazima iwe hivyo! Anaweza kuondoka Klopp na still tukawa vizuri.
 
Hahaha, nakumbuka kuna mwaka Mourinho alifungwa kitu kama Community Shield, akaulizwa akasema siyo kombe hilo.

Then kitu kama Chelsea au Man Utd alishinda hiyo game, akawa analihesabu kama kombe.

Binafsi kwangu siyo kombe.

Na hapo kama utarudi kwenye picha utagundua wameandika Trophies na wala hawakuandika Cups.

Enewey hilo nalo ni kombe ingawa ni Mickey mouse tu.
 
Hiyo nakaribia kusema ni lazima ingawa sio lazima akiondoka Klopp kwanza tutapitia wakati mgumu hata aje kocha gani!
Lakini kama nilivyotabguliza mwanzo si lazima iwe hivyo! Anaweza kuondoka Klopp na still tukawa vizuri.

True, issue ya coaching nadhani huwa pia inaendana na bahati na kikosi kocha anachorithi.

Baada ya Pep kupata CL mbili akiwa Barca, bado nasubiri kuona kama atakutana nalo pengine, hata kwa kupewa budget kubwa anayotaka.

Pia nasubiri kumwona Zizzou bila Ronaldo kwenye anga la UEFA.

All in all, hakuna kocha wa kuvaa viatu vya Klopp kwa miaka hii ya karibuni.
 
Kuifanya Rangers kua Title contender against Celtic

Kuifanya Rangers kuqualify from group stage ya Europa League baada ya miaka mingi.

Vilevile yupo Rangers kwa ajili ya Kugain experience kwenye coaching.

Maswali ya msingi:
1) Ivi kuna kipi Pep alifanya kwenye ukocha mpaka akapewa Barcelona iliyomfanya mpaka leo yupo hapo alipo?
2) Kuna kipi Lampard alikifanya kwenye ukocha mpaka akapewa Chelsea?

Sometimes its stupid giving someone pressure when you know you have a perfect replacement but you dont know how long will the replacement last as a couch when given the chance

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuifanya Rangers kua Title contender against Celtic

Kuifanya Rangers kuqualify from group stage ya Europa League baada ya miaka mingi.

Vilevile yupo Rangers kwa ajili ya Kugain experience kwenye coaching.

Maswali ya msingi:
1) Ivi kuna kipi Pep alifanya kwenye ukocha mpaka akapewa Barcelona iliyomfanya mpaka leo yupo hapo alipo?
2) Kuna kipi Lampard alikifanya kwenye ukocha mpaka akapewa Chelsea?
Hao ulowataja walipewa kwa majaribio mambo yakawa mazuri kwao kwetu inaonekana kama keshakua world class tayali khofu yangu atajaza Ndugu zake ambao hutegemea zadi jitihada kuliko uwezo.a ngekuja mapema basi ili awe nyuma ya Klopp kule alipo hakuaminiki kimpira Rogers alishakua mwalimu kabla ndomana anafanikiwa kuna yule Oneli alienda kule akapotea mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni vile sijui football management, ila kiukweli naona ni kama tutarudi nyuma kiasi.

Labda kama Gerrard angekuja kukaa na Klopp kwa angalau miaka 2. Ili kama ana retain team iwe team anayoifahamu.

Ngoja tuone itakuwaje.
Dah nimejibu hivyo kabla sijaona hapa nikiongezea au wampe japo under 23 iimarike kwake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ulowataja walipewa kwa majaribio mambo yakawa mazuri kwao kwetu inaonekana kama keshakua world class tayali khofu yangu atajaza Ndugu zake ambao hutegemea zadi jitihada kuliko uwezo.a ngekuja mapema basi ili awe nyuma ya Klopp kule alipo hakuaminiki kimpira Rogers alishakua mwalimu kabla ndomana anafanikiwa kuna yule Oneli alienda kule akapotea mazima

Sent using Jamii Forums mobile app

Ni moja ya shida ya waingeleza, Ata Roy Hudgson alijaza maingereza na miwatu ya ajab ajab tim likawa bovu
Watu wanachanganya mapenzi na ukocha

Kuwa Kocha Club ndogo ukiwa na jina kubwa ni rahis kuheshimiwa na kuleta wachezaji wengi kutoka Club mama iliokuzoea
Ila kuwa kocha Ckub kubwa ni kitu kingine
Kama Amunike akiwa kocha mzuri simba haimaanishi atakuwa mzuri timu zote kubwa, kuwa kocha mzuri lazima uwe na vitu viwili vinavyoendana, Wachezaji wakuheshimu, na pia Tactics
Mourinho ana tactics ila sometimes heshima kwa wachezaji wake inakata, Zidane pia hivyohvyo
Ili wachezaji wakuheshim inabidi wakupende, Klop anavyo hivyo vyote, Gerard sijui

Ukishinda kombe lolote au kufuzu pia kuna either ya mambo mawili
-wengine ni wabovu
- wewe ni bora sana

Ko sometimes kuna mambo washabiki wanaweza kushabikia kwa mapenzi na sio ujuaji
Sikuzote huwa nasema binadam wengi ni watu wa matukio, wanangoja jambo litokee ndo washangae

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hao ulowataja walipewa kwa majaribio mambo yakawa mazuri kwao kwetu inaonekana kama keshakua world class tayali khofu yangu atajaza Ndugu zake ambao hutegemea zadi jitihada kuliko uwezo.a ngekuja mapema basi ili awe nyuma ya Klopp kule alipo hakuaminiki kimpira Rogers alishakua mwalimu kabla ndomana anafanikiwa kuna yule Oneli alienda kule akapotea mazima

Sent using Jamii Forums mobile app
teh teh
usijali brother naamini ujio wa captain steven gerrard miaka mitatu ijayo hatowaleteeni wale ndugu zake wachovu akina konchesky, spearing, flanagan kutoka academy, lambert, carroll, charlie adams...

dah! hongereni kwa uwekezaji bora mulioufanya kwa takribani miaka minne.

hapa katikati mulivurugwa sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom