Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hahahahahahahha, looooh

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wanapagawa na hapo bado EPL haijatua Anfield haha May 2020 ...

Dreams come true..

August we conquered

September we conquered

October we conquered

November we conquered

December we are defying the odds we conquer Carabao vs Villa, we conquer Qatar like a desert storm and finish the year high by conquering Foxes and Wolves...

Hate us or not we are here to stay and conquer..



YNWA
 
Hata makonda anapendwa na magufuli but haimanishi makonda ndio kiongozi bora na mzuri kuliko viongozi wengine.
Huyo hendo kupangwa na klop na southget haimanishi kuwa ni bora kuliko wengine maana kuna makocha wengi tu wanao mdisi hendo.

Hata hivyo sioni hoja yoyote hapa ya msingi maana angekuwa mzuri hata hao wazungu wenzeke wasingekuwa wanamuongelea kuwa anazingua bali wangekuwa wanasema kama wanavyosema kwa wachezaji wengine kuwa daa leo salaa kazingua au da leo VVD kazingua

Mfano wa hovyo kabisa!
Makonda hafanyi kazi za kitaalam bali kazi za kisiasa zisizo hitaji elimu yyt,angekuwa labda ni RAS au Katibu Mkuu kisha ana achwa ndiyo ungeweka mfano wako

Soka ni kazi ya kitaalam,unafundishwa kuanzia academy kwa wenzetu na lzm uive,sio kila
Mtu anaweza cheza soka!

Sasa Klopp anampa ww mwenzangu na mm hujui lolote kuhusu soka menejimenti eti unampinga!Kama sio wazimu ni nn?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
IMG_7806.JPG

Mkata umeme kandarasi mpya ya miaka 2!
Thank you for your service Millie
Liverpool tunakushukuru sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
View attachment 1291271
Thank you Klopp kwa kusaini kandarasi ingine mpya kuwa Liverpool hadi 2024!View attachment 1291272
Thank you SG kuendelea kujinoa ili uchukue nafasi ya Klopp 2024

Tunatengeneza team itakayo shindana kwa karne


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hii ya SG si ya kushangilia
Tunae kocha mzr sana dunian, ila hii ya kumpambanisha ya kumpa pressure et Gerrad achukue tim ni jambo la ajab na baya kwa tim,
Huwez jua, tunaweza pata our own “Alex Ferguson” ila sabab hii yaweza kumkimbiza
Tangu lin Muingereza ategemewe sana, Gerard ana mapenzi na timu, hii haimaanishi kuwa ni kocha mzuru kisa ana mapenzi na timu
Apa ni kuombea Klopp akae milele sio kumpa pressure kwenye kazi yake

‘The future is not always beautiful’


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Uzuri siku hizi nimeona kama kocha ameshaanza kumpunguzia game time, kwa hiyo atatumika zaidi dressing room na zaidi kuwamementor madogo.

Mimi ningependa Klopp kuanzia next season amuadd katika benchi lake la ufundi kama Pep alivyofanya kwa Arteta ili 2024 kama Klopp ataondoka basi Milner na Gerrard waweze kifanya kazi kwa Pamoja.
 
Jurgen Klopp set for inevitable Liverpool rebuild after signing new contract.

Klopp said he will have to freshen his team up as some of his top stars get older in the next couple of years, but thinks the building blocks already in place will enable him to add at a more considered pace, rather than bringing in a raft of new transfers in one expensive swoop.
 
Kama nilimuelewa kocha hawezi kumuingiza mtu katika team ambayo inashinda hapa inamaana anakhofu ya kuharibu kwa sasa mazingila yamememlazimisha kufanya rotetion na imekua bora zaidi nataumai sasa atajiamini na kumpanga yeyote kwa namba husika na si kukariri kikosi kimoja mpaka inaboa kuangalia kwa walivyo choka.natumai pia vijana watapewa nafasi kutegemeana na mechi kama ilivyokua kwa Jones juzi nikimuona Glujic namkumbuka Gerrad natumai pia atapewa nafasi msimu ujao

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom