Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi sasa haya mabwege ndo yamekluwa tishio letu... maisha yanaenda kwa kasi sana asee...
Ukimuondoa Vardy wengine ni makinda fulani wana kasi ajabu ni mpira Wa kaunta tu kabisa..

Ni kasi haswa eti sasa Manchester City kwenye mbio za ubingwa kama vile hawapo tena aisee mambo yamebadilika Kwa kasi ya ajabu..

Tukiwatuliza kwao itakua imekaa powa sanaa maana Kwa sasa tumewaacha pointi 8..
 
Mkuu King hii inaitwa for the love of the game ndio maana binafsi nawafuatiliaa just to enjoy football....

Ni Kwangu ni bora anisogelee Kwa pointi Leicester kuliko Manchester City kwani hapo hata ma pundits wanaanza kubeti nasi ku drop points uliona msimu uliopita especially kwenye gemu tulizocheza siku tofauti na City akatangulia kucheza na akashinda basi ulikua unasikia "now the pressure back to Liverpool" bla bla... Hivyo Kwangu I would wish Foxes wawe ndio namba 2 hivi hivi City abakie hukooo...

Ukweli tushinde gemu zetu hawa wengine watajijua wenyewe..

I quote one of our great managers of all time Bill Shankly "If you are first you are first. If you are second you are nothing."
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…