Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kumbe humu kuna Watu wanafatilia game za Leicester?

Sijawahi kufikiria kuwa Leicester ni Contender wetu.

Sasahivi ubingwa unadetetmine na kuzifunga Timu kubwa na Vibonde. Tofauti na mwaka aliochukua ubingwa yeye ilikuwa inadetermine na kuvifunga vibonde tu ndiyomana alibeba ubingwa ingawa alidundwa na Timu kubwa.

Sasa msimu huu mambo yamebadilika. Leicester hana uwezo wa kuzifunga Timu kubwa zaidi ya alivyomfunga Arsenal.

Anaweza kudraw uwanjane kwake lakini akienda Away hawezi kushinda wala kudraw kwa Timu kama Man City, Spurs, Man United na Liverpool.

So, hanipi pressure hata kidogo.. Ninachohitaji tuimalize January tukiwa tumempita Man City kwa points 15+ tu, huyu Leicester hata kama tumempita Kuwa points 1 bado hajanipa wasiwasi.
 

8M kuzidiwa mapato na 3M unajua inamaanisha nini?

Hii inamaanisha kwamba Kuwa washabiki wa Barcelona ni Plastic Fans ambao wamesubscribe Channel ya Barcelona kwa ajili ya Messi tu.

There fore, Akifunga messi ndiyo wanaangalia YouTube, kama hakucheza au kacheza lakini hakufunga basi hawaangalii.

Lakini Liverpool Fans ni real fans, ikicheza Liverpool hata game kama wameiangalia Live basi wataenda tu YouTube kuangalia Highlight na haijalishi kama kafunga Salah, Mane, Origi au Xhaqiri.
That's why Liverpool imekuwa most watched football club
 

Tukitoka salama hapo basi ligi tunamaliza invisible
 

Unakumbuka walitupiga 2-1 if am not mistaken the results... Vardy alitupiga volley moja matata sana!?

Usiwa downgrade hivyo ikitokea gap 1pt, BR hawezi tuacha salama
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…