Ed n Edd nEddy
JF-Expert Member
- May 3, 2011
- 5,345
- 6,078
Aisee, kati ya vitu haviniwazishi ni Leicester, najua kabisa upepo wake utakata muda siyo mrefu.
Aliyekuwa ananiwazisha ni City peke yake, naye ameshatepeta.
Man, get your time to watch them
Foxes wame-upgrade sana toka last season hawa wanaweza kutu-challenge up to 25 games
City confidence isha kata na kitakachokuja kumharibia kuanza kubadili upepo akimbize UCL
Mkuu zimebaki game 22...kwao itakua 23 Kwa vile ya Leo hawajacheza..Man, get your time to watch them
Foxes wame-upgrade sana toka last season hawa wanaweza kutu-challenge up to 25 games
City confidence isha kata na kitakachokuja kumharibia kuanza kubadili upepo akimbize UCL
π π π π π π€ π€ π€ π€ Babu Asprin you have made my day...I appreciate you too baba Swalehe... hata kama Swalehe umebambikiziwa.
Ee Mungu saidia Leicester city apate mimba leo....
Tunashukuru kutukumbali kwanza tupate hii ya msimu huu Wa 2019-2020 hayo mengine yatajulikana mbele Kwa mbele..Inaniuma sana ila lazima nikubali liver safari hii baada ya miaka 30 mnabeba epl. Na mtakuja chukua tena baada ya miaka 40+....
Haha amesema anarudi upya kutupia kama zamani hivyo jukwaa litazid noga zaidi huku Ladder 49 nae akifanya yake...Ed, tangu aanze kuangalia Game of thrones, ndiyo kaacha kabisa kutupia zile after-match pictures zake za moto moto. hahaha!
Game of Thrones, best Tv series in history?
i liked, Breaking Bad na Lost pia..
Then kuna Tv series moja ya S.Korea inaitwa Secret forest, Aisee, y'all need to watch it, ni ya moto.
The only thing that is a bit encouraging Kwa hawa Foxes ni kwamba hii form yao ni bora kuliko ile waliyokua nayo wakati wanachukua ubingwa msimu ule ndio maana mandogo wanaamini Sana kwamba if us the Reds slip basi its thiers to lose...Sorry nilikusudia Man City
Leicester hawezi kunifanya niache yangu nimfikirie yeye
Haha amesema anarudi upya kutupia kama zamani hivyo jukwaa litazid noga zaidi huku Ladder 49 nae akifanya yake...
Series bana I would go with 24 ya Jack Bauer,.. Pia Lost was damn intriguing you wouldn't guess what happens next..
Mkuu koncho77 nuff respect bro..Nyie majamaa nawakubali kinyama sema hamjui tu
Nimeona game zao kama 7 hivi, pressing yao naikubali sana.
Kitu kinachonipa confidence ni game yao ya tar 21 vs City, ninaamini City lazima watawapunguza points jamaa na gap litakuwa 10 ikiwa draw au 11 wakipoteza.
Then 26 December tunakutana nao kwao, tukiwaua tunakuwa tumeweka gap.
Mkuu zimebaki game 22...kwao itakua 23 Kwa vile ya Leo hawajacheza..
Haha amesema anarudi upya kutupia kama zamani hivyo jukwaa litazid noga zaidi huku Ladder 49 nae akifanya yake...
Series bana I would go with 24 ya Jack Bauer,.. Pia Lost was damn intriguing you wouldn't guess what happens next..
Cool calculation, at the same time we need to avoid the draw ghost
Tukiweza ku-run up to 28 games without L & D, race inakuwa imeisha mapema sana
Usihofu kitu. We are on fire mazee.Hapo ninamuhofia Leicester City tu coz yupo On fire but Nitakuwa na Mentality ya Draw coz kuwafunga King Power kuna ugumu wake.
Ndio maandalizi ya kutwa Kombe aisee..Hahaaa
Jukwaa litang'aa kwa udhamini wa Nike
Nimekusoma ndugu... Kwetu kufika 25 nadhani itakua Januari na Feb na bila shaka Kwa namna rotation inavyo kwenda sioni Wa kutishia amani..Nili maanisha namba za games (yaani mpaka kufika games 25 kwa wote)
Hehehe jana kwa mara ya kwanza nimejikuta naishangilia Man U.Mzee baba tangu mechi na Mancity Leo ndo unaonekana, hujamaliza Konyagi tu?
Hahahha hatuna namna tena ni kuchapa kazi uwanjani huku tukiwaombea dua mbaya wabaya wetu...π π π π π π€ π€ π€ π€ Babu Asprin you have made my day...