Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Diih hao spurs [emoji33] naona huu mwezi ndo anaonekana nani ana kikosi bora na nani ana bora kikosi maana watu wanapigika tu goli za kutosha
 
Wakuu nawezaje kuupata wimbo wa tangazo la cocacola.. Hili la supersport...naupenda sana huo wimbo
 
Mkuu ni mchezaji wetu ndio tunaye lkn unampa sifa nyingi sana kuliko uwezo wake

Klopp anampa kila mechi
Ww upo kwenu Maswa huko machakani unaona unajua soka menejiment kuliko Klopp
Upuuzi mtupu!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…