you see? this is what I meant lakini naona wenzetu wengi hawajaliona hili kuwa ni tatizo kwetu.Ukikaangalia haraka haraka very simple fixtures ukiangalia vema the interval unabaki daah tuombe mentality ya wachezaji isiwe low naamini tutamaliza vizuri hadi disemba
Wala sikubishii.... Ila kaa ukijua huu msimu hakuna game ambayo salzburg wamecheza bila kuscore hata goal moja. So hiyo game yenu itakuwa ni minus sum game...
Haya mambo ya must win klopp anayapenda sana.Ila klopp Jana katufanyia kitu cha ajabu Sana Milner + Henderson unlucky Fabinho akaumia akaingia Wiljnadum no creativity at all. Bad thing our very own talented kid Trent yupo bench wings zikawa hazifanyi kazi, basi zikawa back pass aaaaaah ndio yashapita sasa. Salzbarg must win game.
Hendo Kwa sasa amekua ndio bouncer Wa klabu hilo analimundu vyema lakini haya ya mpira tunamwonea tu..Mechi ya Salzburg.... Uliiangalia
Yaan kuna watu hii dunia
All was because of that shit hendo
Merseyside Derby mkuu usichukulie powa japo tupo nyumbani...Mbona hiyo simple fixture kiongozi! Only RB ndiyo inanipa headache
Without Fabby we are damn exposed..umeangalia interval lakini?
4 games in 10 days unaona ni kawaida with Fabinho & Salah tia maji tia maji?
Kabisa aisee hapa ni ishu ya momentum Kwa wachezaji na mind set kipindi hiki kifupi...Ukikaangalia haraka haraka very simple fixtures ukiangalia vema the interval unabaki daah tuombe mentality ya wachezaji isiwe low naamini tutamaliza vizuri hadi disemba
Awaiting major scan on the ankle till then it's prayers that he didn't twist or hurt his ankle or shin...Any updates za faby
Mkuu na wasiwasi Europa inakutia...Sisi Soulzbarg tutakuwa kwetu ivyo tutacheza kufa kupona ..afe kipa afe beki ..tunafuzu
Pale sio Anfield mkuu.Tulihitaji goli nne ili barca ya messi na Suarez watoke na walitoka sasa hao Salzburg ndio watapona? Timu yetu ni hatari kuliko hicho kigenge mnachokopigia upatu humu
Sisi tumefuvu na tunaenda kubeba.Mkuu na wasiwasi Europa inakutia...
Bayern tulimtoa anfield ?Pale sio Anfield mkuu.
Wale wazee waliojichokea? tulia ivyo ivyo ivyo game itakuwa ngumu sana...Bayern tulimtoa anfield ?
Wale wazee waliojichokea? tulia ivyo ivyo ivyo game itakuwa ngumu sana...
Spurs alikuwa hovyo anachechemea ..uyo SouzBarg nani kampiga saba? Wewe mwenyew kwako ulitoka 4-3 ndo unaenda kwake?? Jipange mze..[emoji41][emoji41]Wamempiga Spurs 7
Try to remember
Lakini inakua anfield sio ugeniniam not worried at all. tutavuka kuingia last 16 am 100% certain based on our track record.
katika maisha yangu yote ya ku support LFC, aina hii ya challenge ndiyo imekuwa chakula yetu hususani kwenye European competitions.
LFC have never disappointed when the fate of their progress in European competitions is in their hands like it's now.
ni pale tu inapotegemea matokeo kwingineko ndiyo shida..