OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
Nipo mkuu majukumu mengi ..tunajenga timu..we jamaa watu wanakutafuta kule kwenu halafu umejificha huku au ndio umeomba hifadhi ya kishabiki huku
Wewe city unawafunga kwa VAR unazani angefungwa Mara mbili??Lampard aliyepigwa na CTY?
Kwani haiwezekani kupigwa mara mbili? Hiyo var sikuiona mechi vs ctyWewe city unawafunga kwa VAR unazani angefungwa Mara mbili??
Angalau umekumbali kikosi chako bado kina na pungufu kadhaa lakini mna jitahidi,Lampard na Klopp wanaweza chuana kwenye "manager of the month"
Man city awezi kupoteza Mara mbili, hata ivyo kikosi chetu bdo akijawa vizuri kweny big match..
Tutaendelea Ku impruvu taratibu..
Tuna uhakika sisi ni title contender..
Kila la kheri chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
I couldn't argue otherwise Messi is the king of Kings...
Hii timu imeshikwa na hawa wachezaji wanne tu ..wakipoteana wawili tu apo amna timu..
Hii timu imeshikwa na hawa wachezaji wanne tu ..wakipoteana wawili tu apo amna timu..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
That real sportsmanship accepting others can be better...
mmeshinda ndio... ila mnastruggle sana kupata ushindi....Salah hakucheza last game vs Palace na tumeshinda
My favourite Samba boy in Reds jerzy
Ni ishara ya kuimarika kwa washindani wetu...mmeshinda ndio... ila mnastruggle sana kupata ushindi....