Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Hahaha Dele yupo vizuri sijajua ni upepo upi uliwapitia pale Spurs mpaka kujikuta walipo EPL....Mkuu hiyo nahis anataka afanye kama difencing mechanism kwa sababu anajua kwenye mfumo wa mo hawez fit maana anampira wa wiz wiz tu kama lingard thus y kaanza kujishuku
Hamna tofauti yoyote wote wabahatishajiUmepotea wewe Dele hawezi kuwa sawa na Lingard
Hayo maneno alitweet mwaka 2012Mkuu hiyo nahis anataka afanye kama difencing mechanism kwa sababu anajua kwenye mfumo wa mo hawez fit maana anampira wa wiz wiz tu kama lingard thus y kaanza kujishuku
Maisha bhanaaa[emoji16]View attachment 1268501
Morinho anavisasi na mpekenyuku sana, Dele atarajie kupigwa bench mpaka ajutie kauli yake mbovu
View attachment 1269623
Klopp is the best when it's comes to facing the media..
He also knows how to inspire the players..
Lovren is shits but look at Klopp answer 'he has a weakness like everyone out there buts also outstanding.. Ishu sasa Lovren akisikia hayo maneno anapata kichwa balaa
Wakati Mou yuko Chelsea na Ronaldo yuko Man United waliwahi kupondana kila mmoja kwa muda wake.
Ila walivyokutana RMD walifanya kazi maisha yakasonga.
Morinho aliwahi jaribu kumweka Ronaldo bench kwa kipindi fulani lakini alishindwa kwa sababu Ronaldo alikua anabalaa
Morinho hataki mtu wa kumpinga, kwa Cr7 alichemka mwenyewe akaamua kumrudisha
but issue ingine ni uportuguese pia unachangia, hawezi mfanyia kauzibe mtu anaeibeeba nchi yao
Maisha bhanaaa[emoji16]View attachment 1268501
Hongereni majogoo kwa kutoa draw leo.
hahahaaa.. kwenye tabiri nakuaminia mgosi.Kaa hapa hapa usiondoke uone maajabu mtu akipigwa 5 nyumbani kwake,
AlissonLine up please