Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Huo mshahara Wa Klopp sio sawa huo ni wa 2016 alivyoajiriwa Anfield so baada ya contract extention walimuongeza mpunga japo hawakuweka wazi..Ndo maana anataka asepe
Ata mane anapewa kamahahara kadogo kulingana na uwezo wake, though hapo kwa mane kuna excuse, ila si kwa Klop
Huo mshahara Wa Klopp sio sawa huo ni wa 2016 alivyoajiriwa Anfield so baada ya contract extention walimuongeza mpunga japo hawakuweka wazi..
Ukiweka adds on na bonuses Kwa contract ya zamani Klopp alikua anapata zaidi £15m...
Leta takwimu zako kuhusu mshahara wa klop, sio unaongea tuHuo mshahara Wa Klopp sio sawa huo ni wa 2016 alivyoajiriwa Anfield so baada ya contract extention walimuongeza mpunga japo hawakuweka wazi..
Ukiweka adds on na bonuses Kwa contract ya zamani Klopp alikua anapata zaidi £15m...
Where is my name?
This is fake list...
Good ebening
AiseeehhhWhere is my name?
This is fake list...
Good ebening
Duu Dele will swallow his own words🤐🤐🤐🤐🤐🤐😯😯😯Maisha bhanaaa[emoji16]View attachment 1268501
Super Saturday....
Mkuu hiyo nahis anataka afanye kama difencing mechanism kwa sababu anajua kwenye mfumo wa mo hawez fit maana anampira wa wiz wiz tu kama lingard thus y kaanza kujishukuDuu Dele will swallow his own words[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji54][emoji54][emoji54]
Angekua Conte sawa Kwa huo mfumo ila kwa Pep tangu yupo Barca, Bavarians na sasa Citizen hajacheza huo mfumo..
Mendy na Zinchenko nao hawapo fit asilimia 100 labda hii break wawe wamepona...
View attachment 1268122
Klop ni Cheap labour
Mbona ole sendeka sumuoni
Mkuu hiyo nahis anataka afanye kama difencing mechanism kwa sababu anajua kwenye mfumo wa mo hawez fit maana anampira wa wiz wiz tu kama lingard thus y kaanza kujishuku
Kwangu itakua powa zaidi ili nizidi kuji weka sawa msimamo Wa ligi...Basi ataendelea kupokea vipigo