Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Angekua Conte sawa Kwa huo mfumo ila kwa Pep tangu yupo Barca, Bavarians na sasa Citizen hajacheza huo mfumo..Kwanini asichezeshe 3 defenders amtumie Kyle Walker, Jonstone na Fernandinho kwenye flanks acheze Zinchenko na Benjamin Mendy ?
Southgate alimtumia Kyle Walker kama central defender kwenye michuano ya world cup
Mkuu gini wa liverpool anafanya majukumu tofauti na anayofanya netherland kwa liver yuko defensive minded zaidi. Ukitaka umuone the real gini wa netherland bac majukumu aliyokuwa nayo henderson angepewa yeye uone shuhuli yakeGini anatakiwa atengenezee nafasi washambuliaji na kutoa assists sasa ni aibu kuitwa mchezaji mzuri wakati unazidiwa assists na chances na Jordan Henderson
Barca iliyokuwa na Xavi na Iniesta katikati yupo Busquets midfield inafunga magoli ya kutosha maforward wanapewa mapande mengi kutoka kwa Xavi na Iniesta mapande mengi mpaka yanamwagika
Oooooh Habari mbaya sana hiziLiverpool has been dealt a double injury blow ahead of their clash with Crystal Palace on Saturday with Mohamad Salah and Andy Robertson set to miss out
Gini anatakiwa atengenezee nafasi washambuliaji na kutoa assists sasa ni aibu kuitwa mchezaji mzuri wakati unazidiwa assists na chances na Jordan Henderson
Barca iliyokuwa na Xavi na Iniesta katikati yupo Busquets midfield inafunga magoli ya kutosha maforward wanapewa mapande mengi kutoka kwa Xavi na Iniesta mapande mengi mpaka yanamwagika
Mkuu gini wa liverpool anafanya majukumu tofauti na anayofanya netherland kwa liver yuko defensive minded zaidi. Ukitaka umuone the real gini wa netherland bac majukumu aliyokuwa nayo henderson angepewa yeye uone shuhuli yake
Liverpool has been dealt a double injury blow ahead of their clash with Crystal Palace on Saturday with Mohamad Salah and Andy Robertson set to miss out
EeNapoli aliyekutoa malinda umemsahau au sio ?
Selhurst Park hua sio mahala salama kwetu hivyo tulihitaji kikosi cha kwanza kikiwa kizima...Oooooh Habari mbaya sana hizi
Tutatoka salama Mkuu,Habari mbaya sana hii kusikia
View attachment 1268122
Klop ni Cheap labour
Kama hizi takwimu n kwel, bas klop ajitafakal zaidiView attachment 1268122
Klop ni Cheap labour
Kama hizi takwimu n kwel, bas klop ajitafakal zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona ole sendeka sumuoniView attachment 1268122
Klop ni Cheap labour
Mbona ole sendeka sumuoni
🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭🤭Kama hizi takwimu n kwel, bas klop ajitafakal zaidi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]