Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na kwa nini Fabinho anatengeneza nafasi nyingi kuliko Gini?
 
Na kwa nini Fabinho anatengeneza nafasi nyingi kuliko Gini?

Siwezi kujibu swali lako unless uniletee stats za mlinganisho kwa wote wawili.
Kwasababu sina haki ya kuhoji au kujadili mawazo ya Mtu bali najadili stats kwani ndiyo zinazosema kweli nani anatengeneza nafasi nyingi kuliko mwenzake.

Pia zingatia kuwa uwezo wa Fabinho ni Mkubwa kuliko GINI kwa nafasi anayocheza Fabinho
 
Katika hii comment yako Hapo mwishoni umeshaconclude mwenyewe tayari kuwa Gini uwezo mdogo
 
Hiyo hiyo pace ilitengeneza goli,
Kwavile umetumia neno 'inaweza' basi hakuna shida coz umeongelea neno only possibility na sio guarantee

Maneno yatakua hayohayo tu inaweza, kama wakikutana, na blah blah nyingi tu lakini mwisho wa siku tunasonga mbele.

Hivi DJ hana pace?
 
Kwahiyo ile header unazani kepa angedaka?
Ile kusema ukweli Kepa angechonoa japo kwa mbinde sana ..

Ila Allison kiwango chake kimeshuka sana huu ni ukweli ..akikutana na Kijana kama Pulisic mwenye njaa ya magoli ..achana na uyo Tammy ..umeona leo kitu tumemfanya CP?? hahaha hii Liverpool naionea huruma sana ...tena mpka desemba tutakuwa tumepishana point chache mnoo ..

Bisha[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kipa anaefungwa goli moja kwa mechi kashuka kiwango ila anaepigwa nne kiwango hakijashuka
Sasa kepa magoli anayofungwa unadhani Allison ndo atabaki salama? Angalia lile goli la Zuyech wa Ajax ..kipa gani angedaka pale ..

Kepa clean sheet 3
Allison clean sheet 0

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Hahaha hii Man u sio timu ya kuipa ushindi kabisa ..leo wako moto kesho wako baridi ...ni bora wachague moja ..kuwa moto kama Chelsea au kuwa baridi kama Arsenal ya ndugu yangu Duly Jr ..najua uko alipo anajilaumu kuwa fans wa arsenal[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa kepa magoli anayofungwa unadhani Allison ndo atabaki salama? Angalia lile goli la Zuyech wa Ajax ..kipa gani angedaka pale ..

Kepa clean sheet 3
Allison clean sheet 0

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Ndio maana tulikupiga darajani wewe, hivi nyie mnaoliwa na man u pande zote mtamtisha nani?
 
ili man city aendeleze mbio za kusaka ubingwa ni lazima kesho ampige jogoo pale pale unfield unless otherwise atakuwa amejitoa kwenye mbio, kwan kuna timu kama chelsea na lecister zinakuja kwa speed ya 4g,

Najua hili pep kaliona so kesho do or die, lazima apige mtu pale unfield kwa hisan ya var +referee
 
Walishindwa nn kuweka hiyo consistency wakatudhalilisha?
 
Inaelekea zote hazikuwa na pace mpaka kule UEFA [emoji23] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…