Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

If hahahahaha
kwahiyo ni if
ok If you manage to pass your health test, then blablablaa
 
Dah Waafrika bhana! Mshabiki wa Liverpool anasema naipenda Liverpool lakini ninefurahi sana Samatta kufunga Goli dhidi ya Liverpool kwani ni fahari kwa Tanzania.

Nadhani Watu wanapaswa kurudi Darasani wakajifunze maana halisi ya Uzalendo
Kwani kuna shida gani hapo????
 
Na ubaya wa Liverpool strength yao ni rahisi zaidi kuwa exploit na kuitumia kama advantage.

Salzburg , Napoli, Man united, na Aston Villa waliexpose weakness ya Liverpool kiasi kwamba kama wangeweka consistency performance wangeidhalilisha liverpool.

Wakikutana na timu yenye wings zenye pace kubwa inaweza kuwa disaster kwa liverpool
CL hamuwezi kubeba msimu huu ukweli mchungu,najua mtabisha lakini ukweli utabaki palepale kikosi mlichonacho msimu huu hakina pumzi yakutosha kufanya hivyo.
 

Kwavile umetumia neno 'inaweza' basi hakuna shida coz umeongelea neno only possibility na sio guarantee

Maneno yatakua hayohayo tu inaweza, kama wakikutana, na blah blah nyingi tu lakini mwisho wa siku tunasonga mbele.

Hivi DJ hana pace?
 

Ni vizuri ungeitaja Hiyo timu yenye wings zenye pace kubwa.tuijue .

Kama ingekuwa rahisi hivyo Liverpool kufungika,mpaka sasa kwenye ligi kafungwa mechi ngapi? Au wewe ndio unaona sana kuwa shinda makocha wote wa epl waliofungwa na Liverpool mpaka sasa?

Liverpool msimu uliopita kafungwa mechi 1 tu na man city pale etihad.timu zingine zimeshindwa kuchukua point 3 kwa Liverpool.

Usijidanganye liverpool wako vizuri,ndio timu iliyoruhusu magoli machache mpaka saizi kwenye epl.unafikiri ni kitu rahisi?
 

Clean sheet msimu uliopita azikutusaidia kuchukua ubingwa sasa hivi ni mwendo wa ushindi tu.

Liverpool ndio timu iliyoruhusu goli machache mpaka sasa hivi.

Me nauwakika unawakalisha pale anfield,ingekuwa etihadi ningekuwa na wasiwasi.
 
Hizo 75% unazitoa wapi ebu kuweni seriously na tadhimini zenu,ligi bando mbichi hii,oohoo!mwisho wa siku watu tusije tukashikana uchawi hapa.

Badilika mambo yamebadilika,achakukaturi,yaani hii Liverpool auioni kwamba inaenda kuchukua ubingwa?

Endelea kusubiria,sasa hivi Liverpool hawatarudia ujinga waliofanya msimu uliopita,wakusubiria na kusema ligi bado,ndio kilicho waponza msimu uliopita.

Sasa wewe endelea kusubiria Sijui mpaka mwezi wa ngapi ndio useme ligi ndio imeanza huku ukiwa umepoteza mechi kibao.
 
CL hamuwezi kubeba msimu huu ukweli mchungu,najua mtabisha lakini ukweli utabaki palepale kikosi mlichonacho msimu huu hakina pumzi yakutosha kufanya hivyo.

Roho zinawauma sana tukibeba uefa, swala la Liverpool kuchukua uefa sio kitu cha ajabu sana mkuu,ni kawaida yetu sisi.

Sio ajabu Liverpool kuchukua uefa kwa mara nyingine.kikosi chetu cha kawaida sana na tumechukua uefa na wakina origi hao hao wewe unaona hawana uwezo.

Klopp yuko na mipango,unafikiri timu zinavyoshinda kwenye makundi ndio useme timu hiyo itachukua ?

Liverpool kwenye uefa msimu uliopita front 3 yao aikuwa vizuri kulinganishwa na msimu kabla ya huu uliopita.lakini ndio hivyo kawa bingwa.

Wewe ni shabiki wa timu gani ?unaonekana aunauzoefu na haya mashindano ya uefa.
 

PSG anakuwa mkali kwenye makundi tu miaka yote badala ya hapo hawana lolote mpaka unashangaa hata kwenye nusu hawafiki,mara nyingi wanatolewa na timu zilizoshika nafasi ya pili kwenye makundi.

Game za mtoano hawawezi maana hizo pressure ni kubwa sana,mara nyingi kwenye mechi ya marudiano ndio wanapoteana .

Mnyama mkali mane hana mpinzani,
Wachezaji wa Bayern wote waliopiga kula kwenye tuzo za fifa wote walimpa mane chaguo la kwanza, nikakumbuka ile mechi na Bayern pale allianz arena.

Bayern hawaamini ,walikuja anfield kutafuta droo.wakitegemea allianz arena watatufunga.

Mane alichowafanya , hakuna mpinzani wa mnyama mkali mane.

Ni kweli tukibeba cl mane hana mpinzani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…