ox ni nanKwa City ukijilinda basi kakupiga 6
Yani upange viungo wanaocheza mbele ya box lako wasioshambulia??
Nakuhakikishia Kuanzia KDB, Guandogan, Bernardo, Sterling, Aguero and c.o wote watahamia kwenye box letu kutushambulia.
Ili City uwaweze ni lazima uwakabie juu kwa kuwashambulia mwanzo mwisho! Yani uwachezee kwenye Half yao tu nje kidogo ya Box lao huku ukiingia ndani ya 18 yao mara kwa mara ili uwaforce mido za kina KDB zirudi nyuma zisiweze kutengeneza mashambulizi! Kiufupi tuwachezee kama tulivyowachezesha mwaka Juzi kwenye CL tukawapiga nje ndani.
Na Mtu wa kuwafanya hivyo basi tunahitaji kiungo kama OX ambaye anaweza kukabia juu kwa kwa kupress kwenye Half yao pamona na kuwalisha front 3.
Oxlade Chamberlainox ni nan
Mkuu hivi mpo ugenini au darajani...Huu mwezi kuna gemu lazima mutadrop point..
Ya kwanza inaeza kuwa hii..
Inasikitisha sana kila mechi tunayocheza matatizo ya defence yetu ndio yanazidi kuongezeka
No cleanshet in 8 games
Mimi nimemwelewa sana Jurgen Klopp mechi ya Jumapili siyo kabisa, wacha ayaweke majembe nje yapumzike!Nadhani hii game inamhitaji sana Andrew Robertson
Wameshapigwa 4 nyumbani kwao!Mkuu hivi mpo ugenini au darajani...
Ajax si watu wema UCL
Yeye kazi kutuombea mambaya tufungwe kumbe wao wenyewe hali tete...Wameshapigwa 4 nyumbani kwao!
Wamesaidiwa na red cards 2 ndiyo wakapata kupumua, walikuwa wamefia darajani!Yeye kazi kutuombea mambaya tufungwe kumbe wao wenyewe hali tete...
Kashajipiga ban, utamuona jpili tena kuja kusema Leo mnafungwo..
π€π€π€π€π€
Jamaa waliona hawawezekaniki ikabidi memo itembee zikatolewa kadi nyekundu kama maji na penati juu,ndio wanapumua ila walishafanyiwa kitu mbaya hapohapo uwani kwao.Mkuu hivi mpo ugenini au darajani...
Ajax si watu wema UCL
Hahahaha na tena Ajax wamefanya hayo bila mashabiki Kwa vile mashabiki wao hawakuruhusiwa kuhudhuria mechi ya Leo..Jamaa waliona hawawezekaniki ikabidi memo itembee zikatolewa kadi nyekundu kama maji na penati juu,ndio wanapumua ila walishafanyiwa kitu mbaya hapohapo uwani kwao.
Ajax si watu wazuri aidha nyumbani au ugenini mandogo wanafaiti Sana...Wamesaidiwa na red cards 2 ndiyo wakapata kupumua, walikuwa wamefia darajani!