Kila mchezaji ana part yake uwanjani. Kwahiyo mtu anataka kusema the whole 90mntz hendo hana kazi uwanjani. Kwahiyo kwamba timu yetu ni nzuri sana kiasi kwamba tunashinda na watu 10 uwanjani kila mechi?
Tena ni bora hendo kuna vitu utaviona uwanjani kuliko gini. Sema watu wana chuki sana ma hendo kiasi kwamba jata afanyeje watamponda na hawataki hata afunge goli maana atasifiwa na watu wengine.
But tupo nae mpk 2022 kloop akisepa. Nae ndo atasepa Unless aamue mwenyewe kuondoka.
Wataka kuniambia Kloop anampanga hendo b4 chambo sababu hendo ni Captain?? Plzzz Unadharau Uwezo wa Kocha. Hendo ana uzuri wake unaweza usiwe 100% but unatosha kuchangia pale inapombidi
Boss tubasubiri utugawie mihela sisi walala hoi boss[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umenifrahisha mzee
Ila kila mtu ana part yake
Formation tunayocheza firmino ni kama CAM na striker kwa pamoja
Ko mamidle wengine ni mamidle tu
Boss tubasubiri utugawie mihela sisi walala hoi boss
Sikuzote hapa tumeundiwa Majuku hewa ambayo anabambikiwa Hendo lakini hatutajiwi hayo majukumu bali utasikia "HENDO ANAPEWA MAJUKUMU MAALUM NA KOCHA"...
Sasa majukumu gani hayo yasiyojuilikana?? Hebu tutajieni basi tuyajue!
Kila mchezaji ana part yake uwanjani. Kwahiyo mtu anataka kusema the whole 90mntz hendo hana kazi uwanjani. Kwahiyo kwamba timu yetu ni nzuri sana kiasi kwamba tunashinda na watu 10 uwanjani kila mechi?
Tena ni bora hendo kuna vitu utaviona uwanjani kuliko gini. Sema watu wana chuki sana ma hendo kiasi kwamba jata afanyeje watamponda na hawataki hata afunge goli maana atasifiwa na watu wengine.
But tupo nae mpk 2022 kloop akisepa. Nae ndo atasepa Unless aamue mwenyewe kuondoka.
Wataka kuniambia Kloop anampanga hendo b4 chambo sababu hendo ni Captain?? Plzzz Unadharau Uwezo wa Kocha. Hendo ana uzuri wake unaweza usiwe 100% but unatosha kuchangia pale inapombidi
Unataka kuyajua kwan ww ni hendo??ww Baki kuwa shabik acha kocha na mchezaj wapeane majukumu yao
“STABILISING”
anastabilize timu[emoji16][emoji16]
Super Sunday [emoji3517][emoji3517][emoji3517]View attachment 1254292
Hakika,huyu jamaa hanaga hiyana na sisiTuwe wakweli! Huyu Refa anatufavour sana kwenye maamuzi yake! Hiyo J2 ni sisi wenyewe tu
Na David Silva hayupo j2....ingawa yule Bernado ndo shidaaa
Mkuu sio kwamba baada Babu Fergie ni mourhino ndio amefanya makubwa hapo man United...makombe 3Hamna bro
Itaaribu jina lake na kuharibu timu
Atatujazia michezaj ya England kama yote
Ata Dalglish alikuwa kipenz cha liverpool ila aliharibu kama kocha
Kupenda timu haimaanishi utaleta mafanikio
Ni kama mourinho slivyoipenda man united ila hakuifanya la maana
Yaan AM ni kunakila sababu aanze OX maan ndo huwa mbaya wao city mara nying . 3 front yet hiyo siku ndo itamaliza game naamin maan bado sioni mtu sahih wa kuwasimamisha pale mbele, Fab3 anayonguvu ya kutosha kama DM, ila nikiwaza kuhusu ataepangwa pale CM kipanda uso kinanikamata aise[emoji854][emoji854]Game yetu vs Man City tunahitaji Mido hii
Milner - Fabi - OX
Fabi automatically ni DM
Milner ashirikiane kwa karibu na Fabi kulinda back line but his main role iwe ni kucover FBs pale zinapopandisha mashambulizi.
OX kama kawaida yake atengeneze mashambulizi na kupiga zile shuti zake maridadi kabisa.
Keita asipoumia tena sijui...anahuzunisha yani na injury zinakuwa nyingi kama yaya sanogo wa arsenal ya Wenger mwishowe atasahaulika kama Nathaniel.Keita lol kazi ipo...
Liverpool midfielder Naby Keita has returned to the Guinea squad after he missed their friendly internationals against Comoros and Chile last month.
The 24-year old is among 23 players selected by coach Didier Six for the Syli Nationale's upcoming Africa Cup of Nations qualifiers against Mali and Namibia.
Guinea will face Mali in Bamako on 14 November before hosting Namibia three days later in Conakry.
Game yetu vs Man City tunahitaji Mido hii
Milner - Fabi - OX
Fabi automatically ni DM
Milner ashirikiane kwa karibu na Fabi kulinda back line but his main role iwe ni kucover FBs pale zinapopandisha mashambulizi.
OX kama kawaida yake atengeneze mashambulizi na kupiga zile shuti zake maridadi kabisa.
Middle itakayoanza leo itatoa picha nan ataanza kwenye game ya city. Yaan mtu akikaa bench leo kuna uwezekano wa mkubwa kwake kuanza game ya City with exception of fabinhoGame yetu vs Man City tunahitaji Mido hii