Mtu fulani
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 678
- 1,022
Shituka, mkuu ukiona attacking midfield anaanzishwa ku-cover nafasi ya fullback ujue ipo shida kwake(hawezi ku-create chance kama fullback anavyofanya). Hivyo basi capitano yeye mwenyewe anajua kua huo uwezo hana ndio maana anakubali kucheza kama cover ya namba mbili apandapo kushambulia which is his basic responsibility
Ukicheza sehem ukaona ni better kuriko uliokuwa unacheza kabla, yes, unapata position mpya in football
Klop mwenyewe kaadmit hayuko vzr kwenye kucheza kama Attacking na anamuweka ili kuziba gaps ambazo angewachezesha wengine zingekuepo
Simkubali kwa kiwango na hana talent
Ila msaada wake nae upo
Though ningeprefer namba yake acheze chambering