PAUL SCHOLES
(In all competitions)
AT CLUB LEVEL
• Appearance 706
• Goals 150
• Assists 72
CUPS
• EPL 11
• CL 2
• FA 4
• Carabao 3
• Club World Cup 1
AT NATIONAL TEAM
(In all competitions)
• Appearance 66
• Goals 14
Nimekuletea stats za Scholes kama ulivyonihitaji, Nikikutaka ulete stats za Henderson isije ikawa ugomvi ndugu.
Sasa lete wewe za kwako hizo za Henderson tulinganishe hapa.
Mbona tuko wengi tuJisemee wewe pekee "I" sio wengi "we"
Alafu kama haitoshi, unam-pair na Hendo [emoji23] [emoji23]Yani timu inayosaka ubingwa unachezesha Lallana?? Just Lallana!!! Haki ya Nani Klopp hata kama ana Degree 30 za ukocha kwahili namkosoa
Yani timu inayosaka ubingwa unachezesha Lallana?? Just Lallana!!! Haki ya Nani Klopp hata kama ana Degree 30 za ukocha kwahili namkosoa
Alafu kama haitoshi, unam-pair na Hendo [emoji23] [emoji23]
let's go 9 points clear at the top in our next game, which at Anfield am sure we can!
atleast naona OX ni more competitive kuliko lallana na Keita, hawa watu wanajua kuchezea mpira ila ni wanacheza kama wadada sometimes
22 assists now
Yes lallana ana work rate nzuri sana sema majeruhi tu ndo yamemponza. Na leo hajafanya kibaya kacheza vizuri. Nadhani second half villa walikuwa na shot on target moja tu. Alihold vizuri na Kloop analijua hilo na ndio maana anamuweka pale.Sema huyu jamaa majeruhi yalimuumiza sana yakamuuwa kiwango
Enz za coutinho alikuwa mtu wa nne kwenye selection list
Kwangu naona Keita akacheze na akina Jones, ni mzuri ila daah...Oxy ni more of an attacking minded, akipata mpira ni speed golin
Lallana ni more of a settled player, akipata mpira anaweza akaharibu counter attack sometimes
Keita ni more of a passer
Lallana ni garasa whateverSema huyu jamaa majeruhi yalimuumiza sana yakamuuwa kiwango
Enz za coutinho alikuwa mtu wa nne kwenye selection list