Chamba kapangwa mechi tatu goli tatu hendo mechi kumi goli moja asisit ziro wanasema anajukumu lake ha ha haaaUnakosa uhondo mkuu. Zile backpass zake leo anawapa Aston Villa
Mkuu Origi inategemea tunamiliki kwa kiasi gani mpita kama tumezidiwa utamtukana tu mana yule ni kina benteke pembeni anafosiwa tu asi asili namba za wenyewe.our front 3 all poor this first half.
game crying for a certain Ox at HT and Origi at 60 min.
am sure the gaffer has seen it all and will make some tweaks here and there tactically.Kwa performance hii ya first half tulivyocheza inatosha kuitazama second half livescore itanitosha tu.
nope brother, I disagree there.Mkuu Origi inategemea tunamiliki kwa kiasi gani mpita kama tumezidiwa utamtukana tu mana yule ni kina benteke pembeni anafosiwa tu asi asili namba za wenyewe.
Dah mkuuHaki ya Nani Henderson kampasia Beki wa Villa [emoji23] [emoji23][emoji23]
ana dakika chache lkn ameshafanya vitu vingi vizuri zaidi ya ambavyo amefanya hendo kwa dakika 70Huyu ndiyw OX halafu watu wanataka kutuletea habari za Henderson hapa
Hahaha we are doomed kaka... Lallana trying to be MessiKweli Klopp anajua zaidi lakini ndiyo hata Sub bado hajaona umuhimu wa kufanya??????????