Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Wabongo wengi hawana akili
Akili za wabongo nyingi ni kama za King Ngwaba
Yaani ni watu wanaofikiri kirahisi tu, kuwa huyu leo kacheza vizuri ngoja acheze, au biashara hii imefeli ngoja niiache
Ni watu wanaoingia kwenye mitego nila ya kujua wamejiingiza, ni watu wanaodhani kuwa wao ndo wanaojua vitu kuliko yoyote na wanaweza kufanya maamuzi kuliko yoyote yule,
Ni watu ambao wanaendeshwa na hisia kuriko akili
Watu kama hawa nadeal nao sana ndo maana nakuwa tajiri siku adi siku
Ni watu wanaodhani wanaweza kuichukua mikoba ya ukocha wakafanya timu iwe noma kuliko tim zote duniani
Anyways kila binadam anaishi kwenye ulimwenyu ambae yeye ndo centre of everything na hii humpelrkea kujua ndo brightest than anyone
Mkuu ni mpira tu au una mengine toka moyoni maana unatukana wabongo wote kisa mtu mmoja tu ambae ameweka hoja zake mezani!!? Mbona ni wengi tu hatuna matatizo na Henderson japo madhaifu anayo mengi tu na yanaonekana wazi,mjadala mzur ni ule wa hoja kwa hoja Ila hizo unazozileta ni person attack ambazo sio nzur humu maana wengi hatufahamiani Ila tunajaribu kuongea lugha moja maana tunashabikia lfc sasa ukianza kusema akili zetu wabongo!!!kwani ewew mwenzetu ni mzungu wa wapi!!?
Adimu sana mzee baba,
Naona wale antiHENDO wanachungulia kwa mbaaaaaali kwa jicho moja....hahahah
Hongereni kwa ushindi wana Liverpool wote.
UNAI OUT
Kwa alivoishia kuwasilisha nadhani kakusudia goli la konaChief mbona hata leo tumefungwa goli kwenye epl!!?au ulitaka kumaanisha Nini!!?
Hendo was poor in the first half na hakuna stability yoyote ananyoletaNataman ata siku moja nikuone
Maana unaonekana ni mtu usie na kazi na usie na mbele wala nyuma zaid ya kukaa vijiwen na kuongea mada zisizo na faida
Mda wote unaandika mambo yasio na faida kwako na wala watoto wanafamilia wako
Na mambo yenyewe unayaandika bila ufundi wowote bali kuangalia tu kwa upeo wako mdogo wa akili ulionao
Anyways, kila mtu na maisha yake,
Lkn i can clearly picture yur life
Wewe ni mbumbumbu unayedhani uko vizuriWabongo wengi hawana akili