Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hendo ni habari nyingine wewe,

Klopp aone na wewe uone?itakuwa haina maana basi....Klopp ni kocha bora kwa sasa duniani hivyo anajua ni kitu gani anakipata kwa HENDO na hao kina Ox ,Keita na Gini hawana....tulieni mtaelewa tu
 

Yeah kweli mkuu,
Mi si mpitiaji sana wa comments humu, ila nikipitia napitia nyingi kwa akati moja nilionao
Sio kuwa sipati mda wa kuwa free mchana, la hasha, sema tu ni bora nifanye mambo mengine au nikipitia jf nachungulia kijuujuu naendelea na mambo yng
Leo nimepitia comments tangia za zaman na kuona bado anaendeleza utoto wa kuniattack na kusema tunaomtetea ni maboya, kama mtu ninaeona naattackiwa na mtu anaeattack ni mtu wa aina ninayoijua nami namuattack
 
Mimi ni shabiki nguli wa JORDAN HENDERSON ila sasa hata kama unamtetea jamaa isifike kipindi ukatukana hadhira yote...

Alafu unatukana wabongo wakati uandishi wako tu unaonesha wewe ni kijana wa uswahilini kabisa,tena una lugha za kisokonisokoni...

Sio vizuri hivyo mzee,huu ushabiki wa soka ukiuchukulia serious sana unaweza pata shinikizo la damu.....
 

Nimetukana aina yake
 
To be honest I am not pleased with Henderson plus Milner.

Hata sijui nini kifanyike ili hawa watu wasiwepo. Nadhani pale kati akiwepo Gini, Fabinho na Keita/Ox panatulia zaidi.

Japo ana faida yake Hendo katika kuleta spirit ndani ya uwanja ila the guy is not good enough for us. Hata Vvd can do that.
 
Samahani Kiongozi, Hivi ni mpira tu an una kitu kingine unachokitafuta kwa jamaa,Ifike kwakati tujaribu kuheshimiana tu kiustarabu.
 
Mkuu ukitokea unaoga popote halafu bahat mbaya chizi akachukua taulo lako au nguo na kukimbia nazo,Kama utatoka na kumkimbiza watu wote wanaweza kukuona ewew ndio chizi..
Hilo la kuwasema watu maboya hawajui kitu ni hulka ya jamaa so wakat mwingine mtu ukishamfahamu na ukijua mtu kujifanya hakosei kitu,(Much know) umeamuacha tu Wala huna haja ya kupigizaana kelele.
ILA HILO LA KUSEMA WABONGO WENGI HAWANA AKILI DUUH.
 
Hilo goli yeye mwenyewe mara ya kwanza alichoma

Akarekebisha makosa

Yaani nmetukana kinoma ile mara ya kwanza
Alafu sio kila kosa munambambikiza jamaa kisa hamumpendi tu,

Yale mabeki yenu VVD na mwenzie yanapitwa kiulaini na Kane anaenda kufunga goli rahisi lakini hamuoni mnatafuta pa kumsilibia mshkaji aliyewaokoa na kichapo....

Aaaaah sio poa mazee,mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni....
 
Vvd anaweza kucheza mido sio!!?
 

Mkuu Kwa mtazamo wangu kuna mechi zingine mfano na Sheffield United mechi kama hiyo atuitaji watu wa kukaba kama Henderson,maana sheffield muda wote wako nyuma tu wanazuia 100% awaachi nafasi yoyote mechi kama hiyo keita,ox wanaitajika sana kuliko Henderson .

Kuna mechi kama na barcelona hizo mechi Henderson akiwepo akunashida maana unakuta game atujaidominate anatakiwa awepo kwa ajili ya kukaba sana maana ndio anachokiweza hicho 100%.

Na kingine mpaka anakuwa anapangwa sana ni kutokana na mechi zingine anafanyaga vizuri mpaka watu “aaa leo Henderson kacheza vizuri ajazingua.”

Sasa hivi dimba kapewa fabinho maana alivyokuwa Henderson mipira mingi alikuwa anarudisha nyuma sana.badala yakupandisha timu.


mashabiki wengi hawapendi timu muda mwingi imekaa nyuma inashambuliwa tu kulingana na watu waliopangwa kwenye mida nature yao ni wakabaji sana na kama wakina Henderson ila kocha na yeye anakuwa na wasiwasi awezi akajirisk akaweka watu wakushambulia tu.atafanya hivyo mara moja moja na sio mara zote ,kama mashabiki tunavyotaka.
 
So unataka tusemaje we jamaa


Kama unamkubali it is okay

Sisi wengi hatumkubali....
 
Hizi personal attacks za maisha zinatoka wapi mkuu

Mbona unashindwa kuficha upumbavu wako

Bishaneni kwa facts

Sio huu ujinga unaufanya hapa

Kama wewe umefanikiwa kimaisha it is okay

Kama sisi hatukafanikiwa... Sawa ni vizuri pia

Ila haituzuii kuongea pale tunapoona timu yetu inazingua sehemu

This is our team.... LIVERPOOL Means more

No place wameandika kwamba kama mtu hana hela basi asishabikie liva....

This is insanity... Hebu kua hafu uache utoto mzee...

This personal attacks are too much zmenikera sana
 
Jamaa ye tajiri bwana

Hahaha... Mzee unajua huyu jamaa ni mjinga sana

Sasa kila mtu aanze kujisifia humu mali zake patakalika kweli humu

Yaani katoka kwenye mpira kaja kwenye possesions
 

Aisee kumbe kuna Watu wananifuatilia neno kwa neno hapa JF !!!
 
Sijawahi dada fala kama wewe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…