Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,466
- 32,913
I conquer 110%...Hakika mkuu, kwa soka la miaka hii na inayokuja mchezaji ambaye hawezi jihakikishia nafasi first 11 hata benchi hastaili. Ukichukulia concept hii kua bench ni back up ya aliyeanza then wa bench inabidi akaribiane na anayeanza.Kuanzia next transfer window tufagie wamatumbi wote for the better of our team
Nimekusikia ndugu...Milner kiraka kile. Achana nacho kabisa
Eeh si bora wanisajili hata mimi middle hatari namungo fc [emoji16]King Ngwaba kaniudhi sana, eti ka suggest Hendo abaki kama sub
Kwanza tumefungwo moja tukiwa ugenini huku hata mabeki waliocheza upande wa kulia Milner na Lovren wakiwa ni chaguo la 3 Kwa kocha...Kuna Wafuata upepo humu wameona Makala Echo zinazopropagate kuwa Mido za OX na Keita zinasababisha tufungwe goli kiurahisi basi na wao wamekuja humu na Vipost uchwara Kuwa Mido hizi zisicheze tena eti zinaruhusu kufungwa.
WeeMkuu mpaka sasa tumegeuka timu ya mihemko eti sikia hii Lallana anaandaliwa mkataba baada ya kufunga OT....
Sijui ni magezati tu ama ndio msimamo Wa timu...
Kama msimamo Wa klabu basi ipo shinda kuu
Rodgers aje TUMPE hata bure Lallana na Hendo, Lovren na Milner
Hahaha bwana wee noma sana ndugu...Wee
Usinambie [emoji28][emoji23][emoji23]
Rodgers mwenyewe haitaji magarasaMkuu mpaka sasa tumegeuka timu ya mihemko eti sikia hii Lallana anaandaliwa mkataba baada ya kufunga OT....
Sijui ni magezati tu ama ndio msimamo Wa timu...
Kama msimamo Wa klabu basi ipo shinda kuu
Rodgers aje TUMPE hata bure Lallana na Hendo, Lovren na Milner
hawa leicester sio wa kuwachukulia poa wanaweza kufanya walivyofanya msimu wa kwanza walivyopanda daraja inaonekana foward yao inauchu sana na magoli
King Ngwaba kaniudhi sana, eti ka suggest Hendo abaki kama sub
Lovren
Lallana
Karius
Clyne
Hawa waondoke kwa Gharama yoyote ile
√ Milner namkubali lakini Aondoke kwa heshima zote ili kupisha Nafasi kwa Grujic kwani asipoondoka Milner Grujic hatopata nafasi Liverpool
√ Henderson aendelee kubakia kwa Backup kwani OX na Keita muda wowote wanaweza kurudi wodini
Ha ha ha kumbe hata mimi nimeonesha Mahaba kwa Henderson pale nilipisema abaki kwa ajili ya sub?
Milner kiraka kile. Achana nacho kabisa
Mahaba makubwa sana, mpaka nawaza huenda umepata mgawo wa Le Captain [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nilitarajia mjadala uchambuzi na maoni juu ya hili deal nini tutaambulia tutegeme sajiri za namna gani, tumepata au tumepatikanaNaona tangu Nike wapate deal juzi huyu K. Mbappe anatajwa tajwa sana na wachezaji wa Liverpool
Mla pilipili ndio mizinguo mkuu,team selection zinamshinda ukichanganya na mabifu ya wachezaji ndio kabisaaaaa....wachezaji wapo wazuri sana ila timu hakuna.....Aisee hivi mla pili pili ndio shinda ama hana majembe ya kazi ya Kutosha Sana Sana pale defence naona bado panayumba...
Kati pia panakosa kiongozi ila mwendako naona sio kumbaya...
Nyakati kama hizi bora nyie mnaoitafuta big four kuliko wale mashetani weupe kupambana kutoshuka daraja..
Be sure of what you wish...
Kuna Mambo usiangalie Kiraka tu bali angalia na disadvantage zao wawapo kwenye Timu.
Milner ni 34years. Sasa japo ni kiraka lakini uwepo wake unafanya nafasi kuwa Limited kwa baadhi ya Wachezaji! Kwa mfano Grujic 23years ni Mchezaji mzuri lakini anaishia kucheza Ujerumani kwa Mkopo kwa sababu ya Milner na Lallana kuwepo kwenye Timu.
Kwahiyo Milner akiendelea kuepo basi Grujic atadai kuuzwa kwani hatoweza kutoboa ndani ya Liverpool.
Kwahiyo Milner ni Kiraka but kwa Maslahi ya Timu itabidi aondoke ili kupisha nafasi kwa wengine.
Duh sawa Mkuu huyu mpine angalau misimu mitatu kabla ya kujua kama muachane naeMla pilipili ndio mizinguo mkuu,team selection zinamshinda ukichanganya na mabifu ya wachezaji ndio kabisaaaaa....wachezaji wapo wazuri sana ila timu hakuna.....
Yaaani nashangaa tuna wang'ang'ania Wa niniRodgers mwenyewe haitaji magarasa