Randy orton
JF-Expert Member
- Apr 29, 2019
- 1,338
- 3,575
Sasahivi Watetezi wa Hendo wanatafakari tu namna ya kuandika Waraka wa Utetezi yani wanawaza waanzie wapi!
Watakuja na Baadhi ya Hoja hapa kama:-
• Ni Kiongozi uwanjani
• Ni Kiongozi kwenye dressing room
• Anastabilize Timu
• Anakaba
• Anapiga mipasi
• Ana nidhamu
• Anajituma
• Na upumbavu mwengine mwingi tu.
Echo ni wakala Wa ma Brexit wanajua hii mido ya jana ikiachwa wanakosa mjadala tena Kwa kuwa wao ni Hendo Hendo Mr useless boy...Sio kuja tu, echo wanasema pengine mid ya jana inaweza isijirudie kwani ilisababisha tukakosa clean sheet, kwakua ipo offensive mpaka inasahau kulinda, imeacha mjadala mkubwa sana mtandaoni watu wakihoji of all 15 games we got 3 clean sheet and the thing to notice is keita faby ox imecheza game moja ya jana tu why watu wanaponda
tena?
Ni kweli kama tulivyowadhibiti man u mpaka dakika ya 70 pale OT, maana bila hendo ndani lazima tupigwe tu. Mkuu hii mido bila hendo haiwezi kutembea kwani yeye ndo stabilizer wa timu pale kati.Hendo atacheza Jumapili
Hii combo ya jana hapana,katikati tunakuwa wazuri tukiwa na mpira tu!
Dakika ya 6,8,22,39,58,87 zote tumefungwa au tumekoswa mno na Samatta!
Hendo in mmoja wao anapumzika Jumapili
Huwezi ruhusu nafasi kama zile za Samatta kwa Kane ukawa salama
Ya Hendo ilitupa clean sheets ngapi msimu huu?Sio kuja tu, echo wanasema pengine mid ya jana inaweza isijirudie kwani ilisababisha tukakosa clean sheet, kwakua ipo offensive mpaka inasahau kulinda, imeacha mjadala mkubwa sana mtandaoni watu wakihoji of all 15 games we got 3 clean sheet and the thing to notice is keita faby ox imecheza game moja ya jana tu why watu wanaponda
tena?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kweli mbombo ngafu.View attachment 1243412
Tumeshinda 4-1 LKN tumewaruhusu sana wapinzani kumfikia kipa,Samatta katukosa sana na huwezi ruhusu kama zile nafasi kwa Kane ukawa salama!
Mido ya Keita,Fabihno na OX tunakuwa exposed sana sababu wote wana weza tu kulinda mpira lkn sio ukabaji
Sidhani kama tutaiona tena,lzm Wilj au Milner achanganywe pale
In Klopp,we trust
Jumapili big game na Spurs,Mungu usituache!
Hahaha nilikutana na mtu ana mwandiko kama wa malafyale liverpool nilicheka sana aisee... Hiyo jukwaa lina radha hadimu sanaNi kweli kama tulivyowadhibiti man u mpaka dakika ya 70 pale OT, maana bila hendo ndani lazima tupigwe tu. Mkuu hii mido bila hendo haiwezi kutembea kwani yeye ndo stabilizer wa timu pale kati.
LIVERPOOL BILA HENDERSON HAKUNA KITU.
NANI HAYAOGOPI MAJOGOO
NANI ANABISHA HENDO NI HATARII?
Dah kaka unatisha! Huu ni zaidi ya uchambuzi unatakiwa upate tuzo ya mwaka,pia unatakiwa ukapime macho.Hendo atacheza Jumapili
Hii combo ya jana hapana,katikati tunakuwa wazuri tukiwa na mpira tu!
Dakika ya 6,8,22,39,58,87 zote tumefungwa au tumekoswa mno na Samatta!
Hendo in mmoja wao anapumzika Jumapili
Huwezi ruhusu nafasi kama zile za Samatta kwa Kane ukawa salama
Kweli mpira ni mpana jama. Kumbe kuna wachezaji wanapewaga roles za STABILISING. Kumbe mbali na kukaba, kupandisha na kutengeneza nafasi kuna KUSTABILIZE. [emoji23][emoji23]
Sio kuja tu, echo wanasema pengine mid ya jana inaweza isijirudie kwani ilisababisha tukakosa clean sheet, kwakua ipo offensive mpaka inasahau kulinda, imeacha mjadala mkubwa sana mtandaoni watu wakihoji of all 15 games we got 3 clean sheet and the thing to notice is keita faby ox imecheza game moja ya jana tu why watu wanaponda
tena?
Kweli mpira ni mpana jama. Kumbe kuna wachezaji wanapewaga roles za STABILISING. Kumbe mbali na kukaba, kupandisha na kutengeneza nafasi kuna KUSTABILIZE. [emoji23][emoji23]
Dah kaka unatisha! Huu ni zaidi ya uchambuzi unatakiwa upate tuzo ya mwaka,pia unatakiwa ukapime macho.
View attachment 1243412