Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Alaf bado kuna jitu litakuja na makala zake za Hendo sjui ni kiongozi mzuri, sijui yeye kapewa kazi maaluk kabisa na Klopp tofauti na kufunga ku assist sio majukumu yake.
Mara Hendo ndio roho ya team, huyu ndo SG na Alonso wapya kwenye zama hizi, yani full of bullshi**t. Mpaka unataman umpige mtu makofi.
Fabby-Nabyy-OX🔥🔥🔥
Hivi man of the match jana alikua naniUseless Lovren...
atakua amejikita huko kwenye uongozi baada ya kuchemka uwanjani...
VVD kiongozi, Gini kiongozi, Milner kiongozi, Hendo nae sasa binafsi sioni vacuum ya uongozi kwetu...
Huyu auzwe tu
Gini Hana hadhi ya kumuweka benchi yeyote kati ya hawa Shaqiri, OX, KeitaHapana hata Gini anajua sana aisee
Msimu bado mbichi ndugu kua na subira hii VAR itafika mahala vilabu wataigomeaNaona nyie ndio mmefaidika nayo zaidi
Kwangu naona MOTM ni Chamberlain after almost 1 year without playing UCL jana katuma salamu amerudi and he mean business..Hivi man of the match jana alikua nani
Sijui kama TV uliokuwa unaangalia ilionyesha ila samatta hakuwa na kosa ila aliyempa pass aliipokea mpira akiwa tayari offside VAR ilionyesha vizuri kabisaBado mnaendelea kubebwa na VAR sijaona sababu goli la Samatta kukataliwa.
Ni ujanja ujanja tuSijui kama TV uliokuwa unaangalia ilionyesha ila samatta hakuwa na kosa ila aliyempa pass aliipokea mpira akiwa tayari offside VAR ilionyesha vizuri kabisa
Siku zote anae tumia jitihada kufanikisha kitu kwangu mm ndio mzuri...
Hata hendo akotaftiwa mbadala wake nasi pale kati itabd apatikane ambae atakuwa na sifa kama za hendo.
Hernderson ni mchezaji wa kawaida tu ila anastabilize mido
Yani hizo stats za Oxlade na Keita, bwana Hendo anaweza asizipate msimu mzima.
Atakuja mtu na WARAKA MREFU kutueleza mchango wa Hendo. Yani mtu anayetetewa na waraka na sio kazi yake uwanjani. Badala kazi yake ijieleze, ni watu ndo wanatueleza.
Sio kuja tu, echo wanasema pengine mid ya jana inaweza isijirudie kwani ilisababisha tukakosa clean sheet, kwakua ipo offensive mpaka inasahau kulinda, imeacha mjadala mkubwa sana mtandaoni watu wakihoji of all 15 games we got 3 clean sheet and the thing to notice is keita faby ox imecheza game moja ya jana tu why watu wanapondaSasahivi Watetezi wa Hendo wanatafakari tu namna ya kuandika Waraka wa Utetezi yani wanawaza waanzie wapi!
Watakuja na Baadhi ya Hoja hapa kama:-
• Ni Kiongozi uwanjani
• Ni Kiongozi kwenye dressing room
• Anastabilize Timu
• Anakaba
• Anapiga mipasi
• Ana nidhamu
• Anajituma
• Na upumbavu mwengine mwingi tu.