Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Haha man u nipo weekend hii tu ..ili kuhakikisha wanawachakaza ..baada ya hapo narudi zangu darajani...

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Haha pole pale pale OT wanalala...

Mane, Bobby to score...

Ngoja kwanza Palace ambanie Citizen kesho kutwa ndio utaelewa hili kombe linatuhusu..
 
Kilichompoza ni hizo ndoto zao walatin kucheza barca au madrid....ila hii ya kujilipia nayo ilimkuta fabregas aliongeza mpunga ili aende barca nae waamtupia kama uchafu ndoto ya kurudi home ikafa.
Grienzman nae soon atauzwa naona kama ndoto yake nae inaelekea kuwa ya mchana. Ondoka kwa nizamu kama suarez utafnikiwa
 
Surez alitulizwa na Steve kipindi anataka kutimkia Ganaz.. Alikua msikivu na akaambiwa abaki msimu mmoja na unaofuata ataruhusiwa kuondoka Timu yoyote nje ya EPL na bila ubishi msimu uliofuata Barca wakaleta mpunga Wa maana akaodoka na hilo gundu la akina Can na C10 limempita mbali..
 
Kiukweli kwa spirit ya winning team yetu iliyonayo na mimi naamini tunashinda hiyo mechi, siwazi droo wala lose,
Nikiona kikosi ninaweza kutabiri Kama tunashinda au droo

Milner Na Henderson wakianza pale midfield hapo matokeo ni droo au tunafungwa
 
Hao manure ni wafungwa tu kwa vyo vyote vile, mvua inyeshe jua liwake wanafungwa, utunze hii post
 
Mkuu naheshimu maoni yako lakini ukweli United advantage waliyonayo ni kucheza pale OT tu basi. Hawana kingine cha kutusumbua. Kikosi chao ni cha kawaida sana.
Kwa upande wa Majogoo siku Robbo na TAA wakicheza vizuri kwa maana ya game kuwakubali basi kazi inakuwa rahisi sana. Hii game tutashinda na sababu ni nyingi.
1. Tuna kikosi bora
2. United ni wabovu, na kiakili hawapo vizuri
3. Tunataka kuchukua kikombe cha ligi kuu.
Point 3 jumapili zipo.
 
Upo sahihi ,sijui kwanini baadhi ya kopities mnawaogopa man u

Hakuna kipind ambacho Man u anakuwa underdog kwa Liverpool kama sasa

Tayari Degea ni injury, pogba injury

 
Haha man u nipo weekend hii tu ..ili kuhakikisha wanawachakaza ..baada ya hapo narudi zangu darajani...

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
@Ollachuga Oc bana, dua la kuku halimpati mwewe. Kutuombea sisi tupoteze game ili nyie mpande, haitakusaidia kitu. Maana nyie sio wapinzani wetu kwenye tittle race. Hapa wakumwombe apoteze ni City na sio reds.
 
Imekaa powa kabisa Klopp popote alipo atende haki atuwekee kikosi cha kazi kazi tulichokizoea kwenye Epl....

Wasiwasi wangu ni kuwaona tusiowatarajia kama Lallana nk kikosini kama alivyofanya mechi ya mwisho vs Manu pale OT..

Tuna mechi muhimu ndani ya wiki kadhaa zijazo tunao wounded Spurs, rejuvenated Genk, Gunners, Villa sasa usichoke Klopp kwenda OT kutafuta draw haha damn will curse this drunkard master...
 
Upo sahihi ,sijui kwanini baadhi ya kopities mnawaogopa man u

Hakuna kipind ambacho Man u anakuwa underdog kwa Liverpool kama sasa

Tayari Degea ni injury, pogba injury

View attachment 1236486
Wakati mwingine kuna zari la mentali kabisa na ndio hili sasa kukutana na Manu asie na identity wala hawajielewi mchawi nani...

Wakati ni huu kufuta mauchungu yote tuliyopata pale OT kwa miaka kadhaa..

If we can't beat Manu wakiwa in this twisted state then lol we are screwed big time by em the pundits who keep on dreaming us loosing only for us to win and win...na humu sipati picha Ollachuga Oc atakavyoweka kambi jamvini hapa haha Klopp tuokoe

Opportunities favors prepared mind and am positive for us its can't get better than this..
 
United wanapigika nje na ndani mkuu....Palace walijipigia palepale OT.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…