bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 633
- 1,275
Ni kweli, Na tukijitahd sana tunaweza kupambana kwa msimu huu lakin hatuwez ku'maintain misimu mingine kwakuwa na kikos kdg kama hichi.Kwa kikosi chenu hamna maisha marefu mkuu...kikosi finyu sana na wachezaji ndo hao hao wanakipiga mwanzo mwisho..
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Yani nimecheka sana jamaa kakariri mpira wa wapi sijui eti 4-3-3 haina attacking Midfielder kwasababu tu Hendo hajui majukumu Yake anaishia Kuwa useless Kiraka 😀😀
Napenda anajituma kwa kukaba.. ana long pass nadhan ni wa 4 ama 3 kwenye kikos, ni kiongozi anapokuwa uwanjani.
Ukisema ulete takwimu za hendo kwa kumshindanisha na wachezaj wengne wenye position moja utakuwa umemuonea sote tunajua hilo, maana msimu mzuri kwake alwah kuwa na assist 7 na goli kama 3 au 4 hv.
Lakn hao viungo wenye statxs nzuri mbona hatuon wamesaidia nn kwenye timu zao, kwanza jamaa huwa ana min chache za kucheza kulinganisha na wengne.
Pia huwez kuwa vzuri kila idala..mbona kuna team ziko na mids wazuri lkn hakuna kitu,
Siku zote anae tumia jitihada kufanikisha kitu kwangu mm ndio mzuri...
Hata hendo akotaftiwa mbadala wake nasi pale kati itabd apatikane ambae atakuwa na sifa kama za hendo.
Mimi sio shabik wa hendo lkn naona watu wanamshusha sana... kiasi kwamba hakuna anachofanya.
Muhimu ushindi unapatikana, ambao wana wachezaj wazur wanahangaika saiv siku zote watu huwa hawatoshek
Hey Doc.. Will get back to this baadae...Nmeuliza swali mkuu hapo juu kuhusu trent kwa nn aschezeshwe... Kama winga sasa
Sisi hatuna kikosi chenye uzoefu kama chenu ..lakini haiondoi ukweli kwamba Liverpool mna kikosi kidgo na kingine timu haziko njema kivile...Siku tukiwa kwenye level kama (naamini apo December) basi andika maumivu ..sasa mtoto kama Tomori ananifichia Salah, unategemea nin apo raundi ya pili ...Nyie wenye kikosi kipana tumewapiga fainali
Tukaja darajani na kwenyewe tukawapiga
Hongera...
I have told you if you will stop weed you will become a presidentSisi hatuna kikosi chenye uzoefu kama chenu ..lakini haiondoi ukweli kwamba Liverpool mna kikosi kidgo na kingine timu haziko njema kivile...Siku tukiwa kwenye level kama (naamini apo December) basi andika maumivu ..sasa mtoto kama Tomori ananifichia Salah, unategemea nin apo raundi ya pili ...
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Tuko pa1Debate kubwa juu Henderson ni opinionated, Sana...
Kwa maoni yangu Juhudi ya Henderson ni kubwa na ina afya kwa timu
Sisi hatuna kikosi chenye uzoefu kama chenu ..lakini haiondoi ukweli kwamba Liverpool mna kikosi kidgo na kingine timu haziko njema kivile...Siku tukiwa kwenye level kama (naamini apo December) basi andika maumivu ..sasa mtoto kama Tomori ananifichia Salah, unategemea nin apo raundi ya pili ...
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Napenda anajituma kwa kukaba..
ana long pass
Msimu mzuri kwake alwah kuwa na assist 7 na goli kama 3 au 4 hv.
Lakn hao viungo wenye statxs nzuri mbona hatuon wamesaidia nn kwenye timu zao?
Kwanza jamaa huwa ana min chache za kucheza kulinganisha na wengne.
Mbona kuna team ziko na mids wazuri lkn hakuna kitu.
Siku zote anae tumia jitihada kufanikisha kitu kwangu mm ndio mzuri...
Anajituma kukaba lakini hawezi kukaba
Huu sio wakati wa kuionea huruma man u, kumbuka walishapata favour kibao za marefa , Nina mechi ambazo mpaka kesho siwezi kuzisahau ambazo marefa waliibeba man u wazi wazi,Naskia De gea kaumia
Dah maskini hawa man u [emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji108]
Mkuu huyu ndogo yupo very adaptable ukizingatia alianza kucheza pale academy Midfield kabla hajapelekwa beki wa kulia..Kwa sasa hana nafasi ya kua tested properly kama real winger Kwa vile mfumo huu wetu hauna natural wingers pindi tunaposhambulia kutokana na ukweli kua RB na LB hugeuka ma winger...Nmeuliza swali mkuu hapo juu kuhusu trent kwa nn aschezeshwe... Kama winga sasa
Hahaha Webb jamani popote alipo shame on him...Huu sio wakati wa kuionea huruma man u, kumbuka walishapata favour kibao za marefa , Nina mechi ambazo mpaka kesho siwezi kuzisahau ambazo marefa waliibeba man u wazi wazi,
Hivo inabidi usiionee huruma kabisa
Nmeelewa mkuuMkuu huyu ndogo yupo very adaptable ukizingatia alianza kucheza pale academy Midfield kabla hajapelekwa beki wa kulia..Kwa sasa hana nafasi ya kua tested properly kama real winger Kwa vile mfumo huu wetu hauna natural wingers pindi tunaposhambulia kutokana na ukweli kua RB na LB hugeuka ma winger...
Anazo sifa za kua winger na ukiangalia stats zake utaona muda mwingi yeye awepo uwanjani huwa zaidi upande wa Timu pinzani kupeleka mashambulizi...
Kwa mfumo huu wa sasa Trent anacheza zaidi kama winger japo kimpira wanaitwa Overlapping Fullbacks ambapo ni yeye na Robertson... Kwa mfumo huu wanashambulia zaidi kutumia pembeni ni muda huo Salah au Mane ambao ndio ma winger wetu huingia zaidi kwenye kumi na nane kusubiri klosi za Trent ama rebounds...
Mfumo huu umefanilkiwa zaidi kutokana na Trent /Robby kua aggressive, fearless, athletic, quality crosses, excellent passing range.. And Klopp sioni akibadilisha kwa vile ushampa mafanikio zaidi
Trent Best QUALITIES
His main task is to provide width going forward , be aggressive, speed with highest tempo,deliver quality crosses but when we lose the ball boy has to track quickly and defend...at times he get caught especially when playing with a real counter attacking team..
When he attacks our Mids mostly Fabi or Hendo cover the spaces or the channels on his side just incase the opposition do attack.. But because he is pacy and athletic probably due to age he try as much to get back to his position...
Trent weakness
His weakness is mostly he hit so many useless passes at times rather than play the ball back but who can blame him that side he plays mostly with Hendo... His other weakness he is very poor at aerial balls but who cares when he is either taking the corners or scoring the dead balls...
Also his other weakness and won't blossom as a winger is his dribbling is not the best, and a winger who can't dribble like Mane would be colossal task to ask
With 4 3 3 formation the full back RB suit him well unless we get another RB and Klopp change the system he is there to stay at RB..