Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Hii comment ndo tofaut ya passionate na reason
Ukiendelea kufikiri hivi utajiumiza sana na stats zako mkuu
Utaona kama nakuponda ila jarb kuangalia mpira kwa jicho la tatu na si stats
team yenye LAAAAAANA
sijakuuliza wewe kishingoKwenye Avatar yako umeuliza hivi: "What Happens When I Die?"
Jibu ni simple tu! "You gonn rot in Hell for all eternity"
Very true, lakin kwenye stats Hendo is derailing. Hardworking yes, what is the product?
sijakuuliza wewe kishingo
Hilo ndiyo Jibu ambalo ulipaswa kunijibu mapema bila ya hata kufikia Hapa.
Labda nikupe my point ya nilichokiandika from the beginning...
My point haikuwa Kumponda GINI bali Nilichokusudia ni kutoa indirect message Kuwa Henderson anafanya mpaka Mido waliomzunguka waonekane Hamna Kitu!
Coz GINI yupo more attacking player kuliko Central or Defensive, But nafasi ya attacking imekuwa ni Hatimiliki ya Henderson kiasi ya kwamba kina KEITA na GINI wanahamishwa kwenye Position zisizokuwa zao na kupelekea Uwezo wao kufichika kama sio Kudumaa.
But kwenye Timu ya Taifa GINI anapewa Uhuru wa Kucheza na Kuattack ndiyomana anakuwa Tofauti na Yule wa Liverpool.
Kama ulikuwa hujui ni kwamba 4-3-3 tunayocheza hainaga attacking midfielder
Kama ulikuwa hujui ni kwamba 4-3-3 tunayocheza hainaga attacking midfielder
Kama ulikuwa hujui ni kwamba 4-3-3 tunayocheza hainaga attacking midfielder
Ahahah eti namponda Henderson kwa kuwa wengne wanamponda dah aiseeeeSimuoni kama bonge la mchezaj, ila anaplay part yake kuwafanya wachezaji kuwa bonge la mchezaj, you see, maana ya team work ni kuwa na aina tofaut tofaut ya wachezaji wenye michezo tofaut kutengeneza combination, naamini nikikuuliza kibaya cha Henderson ni nini najua hujui, bali unaponda kwa sababu watu humu wanamponda, hii huitwa credulous, ndo maana kama kwenye eating akipewa higher rating mnakuwa mnaiponda hiyo sight,
Ndo jinsi binadam walivyoumwa
Sio kuwa namtetea, la hasha, leo hii nikimtukana mtu hadharani na kugombana nae bila huruma, watu wataniita katili na mwenye dharau, haimaanishi mema nitayoyafanya mbele au popote ila tu watu ndo washajiwekea hyo belief bila kufatilia stori behind the scene
Hernderson ni mchezaji wa kawaida tu ila anastabilize mido, japo unaweza kumreplace ila ni kiongozi mchapa kazi mwenye nidham
Goodluck kwenu nyie mnaomponda kiongozi anaejituma
HahahahaaaMagazeti/Media za uengereza bado hazijamkubali
Timu ya uengereza inapangwa kwenye Magazeti
Aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah Ila mbona mi naona unaj Yuko tu ila naona tatizo liko kwa mfumo wenger
Mm nazidi kuchukua elimu tu hapa , mambo ya DM , CM ,box to boxNa jengine ni kwamba Henderson amedizainiwa Kuwa Box2Box midfielder but fail to adapt and produce nothing good! So, failure ya Henderson isikufanye ukajudge Kuwa we are not playing with attacking Midfielder.
Remember Coutinho wakati Klopp alikuwa Kazama kwenye 4-3-3 na gengenpressing nadhani ulikuwa ukimuona C10 alivyokuwa real attacking Midfielder na kila game alikuwa either anatoka na Goli au Assist.
Lakini leo unaniambia 4-3-3 haina attacking Midfielder??? Labda hiyo formation iwe ni ya Zahera.
Ohoo sawa mkuuMagazeti/Media za uengereza bado hazijamkubali
Timu ya uengereza inapangwa kwenye Magazeti
Next game against Manure
Ni headache tu
Manure hata wawe wabovu vipi wakikutana na Liverpool hugeuka Mbogo aliyejeruhiwa
Kuna waliokwishajiwekea Matokeo yao Mfukoni lakini kwamimi nasema bado Nazi tunayo Manure hatokubali kupoteza game kwa Liverpool kwa gharama yoyote ile.
August, September zimekatika na ombi lako ilikua hivi hivi na bado ukitazama ubao unasoma majogoo Wa jiji tupo juu...Hii Liverpool haikatizi December, itakuwa ipo nafasi ya tatu kugombania na spurs uko au arsenal..