Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Wakati Roy Kean anasema hayo ,man u wanajiandaa kupeleka £70m kumng'oa hapo westhamRoy Kean anasema Hendo na Rice ni bora wakakae Studio na yeye tu Waangalie mpira kwani uwanjani hawana kitu
Huyu Waynaldam (In Dutch pronunciation) anapokuwa Timu ya Taifa na Anapokuwa Liverpool ni Watu wawilo tofauti.
Yani Timu ya Taifa anapiga mpira huwezi amini kama ndiye yule wa Liverpool
Jordan Henderson
alisajiliwa sambamba na Andy Carrol, Charlie Adam, Stewart Downing, Jose Enrique sasa kwa nini wengine wote walifurushwa na yeye bado yupo?
Joe Allen alifika na Brendan Rodgers na Klopp alimuondoa mapema sana, ukiangalia sasa wachezaji ambao wanaweza kuondoka ni Lallana, Lovren lakini JORDAN HENDERSON hakuna dalili afu ndiye kapteni wetu
Henderson ana kitu gani kiasi anakubalika hivyo kuanzia KD, BR na JK?
Dah, ama kweli soka kila mtu na jicho lakeHanderson hayuko talented kivile ila akiingia ata kutokea sub tim yote inastabilize, ni mtu ambae akiwepo ndan kufungwa inakuwa ngum japo kufunga nayo inakuwa ngum vilevile
The Henderson guy is very poor. He is a disgrace to my Liverpool. A number 8 that is non productive. Bure kabisa. Whenever I see him in the line up I badly feel sick.Roy Kean anasema Hendo na Rice ni bora wakakae Studio na yeye tu Waangalie mpira kwani uwanjani hawana kitu
Handerson hayuko talented kivile ila akiingia ata kutokea sub tim yote inastabilize, ni mtu ambae akiwepo ndan kufungwa inakuwa ngum japo kufunga nayo inakuwa ngum vilevile
kwann anakuwa hivyo awapo holland ni combination au position ndio vinambeba?Huyu Waynaldam (In Dutch pronunciation) anapokuwa Timu ya Taifa na Anapokuwa Liverpool ni Watu wawilo tofauti.
Yani Timu ya Taifa anapiga mpira huwezi amini kama ndiye yule wa Liverpool
Ni mganga hendo ni mganga au mchawiJordan Henderson
alisajiliwa sambamba na Andy Carrol, Charlie Adam, Stewart Downing, Jose Enrique sasa kwa nini wengine wote walifurushwa na yeye bado yupo?
Joe Allen alifika na Brendan Rodgers na Klopp alimuondoa mapema sana, ukiangalia sasa wachezaji ambao wanaweza kuondoka ni Lallana, Lovren lakini JORDAN HENDERSON hakuna dalili afu ndiye kapteni wetu
Henderson ana kitu gani kiasi anakubalika hivyo kuanzia KD, BR na JK?
Gini and Keita are not properly utilised at Reds ndio shinda ilipo...Nadhani Klopp bado hajafahamu vizuri role position sahihi ya kumtumia Wijnaldum,huyu jamaa ana products kubwa sana kama Klopp akijaribu ku re think his position on the field.
Ahahahmkuu kumbe ukiwepo nyumbani kwenu akili zako zinakuwa timamu ila ukivuka boda tu unazifyetua kwa makusudi kama hotuba za muheshimiwa raisi wa Gambia
Kasema ukweli huyo jamaa,Roy Kean anasema Hendo na Rice ni bora wakakae Studio na yeye tu Waangalie mpira kwani uwanjani hawana kitu
King Ngwaba yupo sahihi mkuu umemshambulia lakini alichokisema King Ukweli mtupu kama sio ukweli mkubwa kabisaAcha kuponda man, Jini ni moja ya mido bora wa Liverpool, we ni aina ya watu unaeongea passionately kuliko ujuzi, bora Mosfed anajua anachoongea
Henderson mpaka Waingereza wenzake tu hawamtaki national team licha ya tabia yao ya kupendana Waingereza kwa WaingerezaHuyo ni 0 talented. He is trash. I love Liverpool but Henderson, noo.