Umekubal co??Kwa man city hii nimeyoiona leo
Na hivi vyuma vya liverpool,
Liverpool anaenda kumupiga gori za kutosha city, ukiaangalia kwa umakini kabisa, city ni timu moja mbovu sana ,sio kwamba haina wachezaji wazuri, ila hao majembe wa city hawana uchu kabisa,hawanauchungu na timu, utagundua wanajichezea chezea mpira just for leasure, tofauti kabisa na liverpool ambayo mtu unamwona kabisa huyu anacheza do or die, ukicheki kikosi chote cha liverpool n watu wanaojituma sanaa, tena kwa ustadi mkubwa,
Man city anaenda kupigwa gori za kutosha na liverpool, ni swala la muda tu
Jokes/banter aside.Hivi katika timu ya kuogopa na man u ni timu kwel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Liverpool mnaweweseka bure, kama klop ana akili, liverpool ikitaka kucheza na man u, naomba muweka kikosi b, wale madogo waliocheza calabao unless otherwise mnaenda kupiga wale mashetan gori 10
Unazungumzia man u au man city , hebu dadavua vzrKwa man city hii nimeyoiona leo
Na hivi vyuma vya liverpool,
Liverpool anaenda kumupiga gori za kutosha city, ukiaangalia kwa umakini kabisa, city ni timu moja mbovu sana ,sio kwamba haina wachezaji wazuri, ila hao majembe wa city hawana uchu kabisa,hawanauchungu na timu, utagundua wanajichezea chezea mpira just for leasure, tofauti kabisa na liverpool ambayo mtu unamwona kabisa huyu anacheza do or die, ukicheki kikosi chote cha liverpool n watu wanaojituma sanaa, tena kwa ustadi mkubwa,
Man city anaenda kupigwa gori za kutosha na liverpool, ni swala la muda tu
Naisubiri hiyo mech , Tumeshindwa kuwafunga sababu ya ujinga wa kochaHivi katika timu ya kuogopa na man u ni timu kwel [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Liverpool mnaweweseka bure, kama klop ana akili, liverpool ikitaka kucheza na man u, naomba muweka kikosi b, wale madogo waliocheza calabao unless otherwise mnaenda kupiga wale mashetan gori 10
Man city inawachezaji wazuri tatizo ni moja tu, hawana uchungu na timu kabisa, angalia game za city nyingi wanacheza kwa kurelax sana, wakikutana na liverpool hawaponi,Unazungumzia man u au man city , hebu dadavua vzr
Ulitaka tununeLiverpool kabla ya Kuchekelea sana kumbukeni huu ni mwezi wa 10 ....
Mbichi na mbivu zitajulikana mwakani , angalau ingekuwa mwezi wa 4 hivi mngepaswa kushangilia kama mnavyofanya sasa, vinginevyo mtambue hii ni marathon
Yah man...but the main man is just getting a couple of bad days in the office...it happened even the days of Nesta,Maldin,Stam,Rio...He is OK.He is the real deal...the character,a leader,a fighter...cant ask for more from him..Those kind of things happen to reminds those who want to forget that he is a human being...not a robot...Man, lets talk about VVD.
My main man amekuwa hovyo recently.
these Ballon d'or issues really getting to his head. he need to sort it out, ASAP.
Still people not watching football do not notice the man...the classic tackles,the magic turnings with the ball,forward passes...still difficult to be noticed by the eyes waiting for a goal and praise the scorer..the amazing silent moments are just quite...only ball watchers can catch and admirerLieutenant
View attachment 1225310
Haaha...I like that piece..Gini scoring away goals..but you know what man...still don rate the guy honestlyRival fans will say its too early to get excited.
Yes, they're right & deep down, even i know its damn too early to get excited.
but, 8 points clear in October with;
City without their Best CB, God knows for how long.
Spurs, falling apart.
Alisson to come back
Keita & Ox yet to get a full run-in the first XI
Matip in the form of his life
Salah, yet to hit his 2nd gear
Firmino, in the form of his life
Mane, in the form of his life.
Gini, scoring away goals.
Henderson getting subbed off & dropped like nothing..
Lovren making last ditch tackles..
...and a fully adjusted Lieutenant Fabio Tavares.
DONT TELL ME NOT TO GET EXCITED.
ExactlyLiverpool kabla ya Kuchekelea sana kumbukeni huu ni mwezi wa 10 ....
Mbichi na mbivu zitajulikana mwakani , angalau ingekuwa mwezi wa 4 hivi mngepaswa kushangilia kama mnavyofanya sasa, vinginevyo mtambue hii ni marathon
Hata ikiwezeka UCL pia tuachane nayo tu, WE NEED EPL TITLE.Chezesha Madogo wa U23 na Benchwarmers kwenye FA na Carabao! Weka wazee wa Kazi kwenye EPL na CL.
Tukutane May
#YNWA
Huwezi......Man man Hahahahahahahahah, Tukikosa hii TITLE mi naachana Football kabisa.
Hiki kicheko dhahiri ungekiweka kule upande wa mashetani ungepigwa mawe....HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHWHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHWHAHWHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHA
Hahhhaha nyinyi mnachekeshaga sijui lini mtaacha utani....Hii title tunabeba sisi
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]