Wale wakichezea goli chache sana ni nne..Shukran kesho naona unakibarua na soton . ntatia kambi huko
Ubingwa kwa hii Liverpool bado sana ..upepo unaanza kukata taratibu ..awa awakatizi December watakuwa level moja na SpursNaona upepo wa kubeba epl upo unaelekea liverpool, hadi var zinawapa ushindi dakika za mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa salah pale akicheza shakir atafaa sana
Salah ni mzr ila ubinafsi unaicost tim kiujumla
Atafunga ila mwisho wa mechi ye ataonekana na goli wakat kapoteza nyingi ambapo tim ingeshinda kiurahisi
#Tbt
Gem ya Barca msimu uliopita jamaa angecheza sidhan ka tungepata magoli yale,
Kinachomuua salah ni kutaka sifa za kuwa kama Messi au Ronaldo wakat haipo katika uwezo wako( atleast league anayocheza)
Nimechek game vzur nimegundua liverpool n timu flan inayojituma, vijana wana uchuu mkubwa sana wa kubeba epl, kila mtu anapambanaUbingwa kwa hii Liverpool bado sana ..upepo unaanza kukata taratibu ..awa awakatizi December watakuwa level moja na Spurs
halafu amekuwa hivi hivi tangu msimu uanze. sijui amevimba kichwa kwa hizo "golden boots" over consecutive seasons?Kweli mkuu. Kwa kiwango kikubwa Salah hii game ameiongezea ugumu kwa upande wetu. Ameshindwa kabisa kupiga pasi za mwisho, nyingi anapiga hovyo au anagongesha (blocked)kwa wapinzani wetu.
Hili klopp anabidi alifanyie kazi. Game ilikuwa na pressure sana hii.
Mi nashangaa wakati leo Salah ndo alikuwa fair kabisa akigongeana na mane mpaka nikashangaa jamaa alivyobadilikaKwamfano sehemu gani Salah aliyofanya ubinafsi kwenye game ya leo?
Milner anatafuta mkataba mpya paleLeo wachezaji wasiotarajiwa ndiyo wamecheza vizuri.
Lovren
Milner
Huyu Milner akicheza pamoja na Hendo anakuwa mbovu balsa! Sijui anamuogopa Hendo!!!!
We jamaa [emoji23][emoji23][emoji23] hamia tu Liverpool najua unaipendaYani hadi penati ndo mushinde ..munaelekea kubaya kwa sasa[emoji41][emoji41][emoji41]
Mkuu Salah misimu yote ndo anaanzaga hiv mpaka wanamwita one season wonder ila mbeleni anakifaua balaa . .we tulia uone shoo ..so unaona klop kapagawa leo kuumia kwake!?halafu amekuwa hivi hivi tangu msimu uanze. sijui amevimba kichwa kwa hizo "golden boots" over consecutive seasons?
Hendo ndo anasababisha wenzie wacheze vibaya kwa yeye kushindwa majukumu yake.akipangwa nayoyote wataonekana wabovu labda wapinzani wasiwe wazuri.Leo wachezaji wasiotarajiwa ndiyo wamecheza vizuri.
Lovren
Milner
Huyu Milner akicheza pamoja na Hendo anakuwa mbovu balsa! Sijui anamuogopa Hendo!!!!
Milner muache kama alivyoHendo ndo anasababisha wenzie wacheze vibaya kwa yeye kushindwa majukumu yake.akipangwa nayoyote wataonekana wabovu labda wapinzani wasiwe wazuri.
Milner sipendi tu achoshwe kila mechi ndo mchezaji anaejituma zaidi akiwemo
Kwamfano sehemu gani Salah aliyofanya ubinafsi kwenye game ya leo?
Mi nashangaa wakati leo Salah ndo alikuwa fair kabisa akigongeana na mane mpaka nikashangaa jamaa alivyobadilika
Mimi nashangaa watu wana kariri sana mimi nimeona amejaribu kutoa pass hata kuna sehemu unadhani angekuwa mchoyo kidogo. Mo msimu wa kwanza aliweka kiwango cha juu sana sasa kila akicheza tunafananisha na msimu ule hapo ndio shida. Hapa tulipo ana mchango mkubwa kikubwa ni team sio Mo. Kuna ukweli mmoja inabidi afanyie kazi sana mipira ya mwisho pass maana ndio tunataka awe anafanya hivyo ila sio ubora wake tumezoea yeye kupewa mipira ya mwisho na kumaliza tu ila tunamtaka awe kama Firminho ambayo sio game yake, yeye ni mzuri kupewa trough ball na kuwakimbia tumuache acheze game yake tusilazimishe acheze kama wengine. Mane, Mo na Bob wana style tofauti tatizo tunataka wafanane.Kwamfano sehemu gani Salah aliyofanya ubinafsi kwenye game ya leo?