OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,313
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimebana mpka mwisho lakini wapi ...hii Liverpool, ningekuwa na Bomu ningelipua pale Anfield aise ...Angalia usije umia maana naona unabana mpk map***bu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haha hahaha kama umemind vile mkuu...Yaah natumia tecno ulitaka nitumie simu gani kiongozi ?
Kikubwa lovren kaonesha kutaka namba yake amepambana sanaKiujumla nimeangalia game toka dk ya 62 naomba kujua tumechezaje leo, na beki hapo nyuma leo Lovren kafanya nn
Kama hivi. Hatuweki maana ule ni ubinifu wake. Akituruhusu tunaweka (joke)Nimemiss sana gif za Numbisa...... popote mtakapomuona mumueleze tunahitaji zile post zake
Recently he has swapped positions, is now the Egyptian Queen.Our Egyptian king is becoming weak now days
Soka ndo lilivyo, atarejea tu mbona amini hivyo, hata messi kuna kipindi alibaki kujivunia ndevu zake tu kuziweka dawa
Hii mbeleko kabisa..Kama hivi. Hatuweki maana ule ni ubinifu wake. Akituruhusu tunaweka (joke)
Liverpool penalt GifView attachment 1224503
Ni mind nini sasa ![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]haha hahaha kama umemind vile mkuu...
Tumia IPhone mzee baba Sawalee[emoji41][emoji41][emoji41]
Shukran kesho naona unakibarua na soton . ntatia kambi huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimebana mpka mwisho lakini wapi ...hii Liverpool, ningekuwa na Bomu ningelipua pale Anfield aise ...
Hongereni bana ...
Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
Yani hadi penati ndo mushinde ..munaelekea kubaya kwa sasa[emoji41][emoji41][emoji41]
Unamzungumziaje Salah leo?
Kufanyiwa kazi ni salah kuekwa benchi tu hamna namna nyingine huyu mtu sasa ivi Amekuwa ni mbahatishaji tu
Liverpool mnaunga unga ushindi...