Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kop hata kwenye Midfield Gini,Hendo na Milner hawana hadhi wala uwezo wa kumuweka benchi Shaqiri au Chamberlain

Namba 5 wa Juventus anaitwa Miralem Pjanic
 
Kop hata kwenye Midfield Gini,Hendo na Milner hawana hadhi wala uwezo wa kumuweka benchi Shaqiri au Chamberlain

Namba 5 wa Juventus anaitwa Miralem Pjanic

Mkuu Shaqiri na Gini wanacheza position tofauti

Shaqiri ni Mashambuliaji kumbuka hilo.
Gini katika Mfumo wa
GINI - FABI - HENDO, hapo Gini ni Left Central Midfielder position ambayo Shaqiri hachezi.
 
Mkuu Shaqiri na Gini wanacheza position tofauti

Shaqiri ni Mashambuliaji kumbuka hilo.
Gini katika Mfumo wa
GINI - FABI - HENDO, hapo Gini ni Left Central Midfielder position ambayo Shaqiri hachezi.
Of course mkuu Shaqiri na Gini Position tofauti

Ila Chamberlain vipi kwa Gini maana Chamberlain anacheza vizuri kuliko Gini
 
Sawa kocha wetu wa kikosi cha liva jf

Inabidi siku tufanye bonanza na majukwaa mengine ya sport

Itanoga sana !

Ntatamn nimwone ollachuga anavyosakata mandombo [emoji28][emoji28]
 

Tatizo lenu wana liver ni moja tu. Mkishinda mechi mfululizo mnasema timu imekamilika hatuitaji usajili. Ila mkikutana na changamoto kidogo tu basi mtasema tuna kikosi finyu mnaanza kumlau klopu kuwa ana kiburi hataki kusajili. Tuwaeleweje wana majogoo
 
upo sahihi ndugu, washindani wetu The Citizen wana kikosi cha nguvu ndio maana wanaweza kushiriki kwa uhakika makombe yote na pengine kuyashinda kabisaaa...

sijui Klopp alitegemea muujiza gani kwa kukosa kusajili maana sitarijii Keita/Ox/Shaq wacheze gemu 5 mfululizo bila kua pancha...yeye alidai Ox ni kama usajili mpya akishapona sasa amepona na bado impact kwa gemu alizocheza ni ndogo mno labda hajawa au hana100% match fitness...Keita nae ndio amepona ngoja tumuone....

Wekedi hii Matip hayupo kikosini tutegemee mechi kua ngumu sana kwetu maana hii ya juzi pale nyuma palikosa utulivu...

Januari endapo Klopp hataona tunahitaji kusajili basi binafsi nasema tutaendelea kutegemea uwezo wa mchezaji mmoja na ni pale sasa kama uwezo wa Salah ukiyumba basi lawama zote zinamfuata mwanzo mwisho, Mane , VVD vile vile n.k...
 
Hats uvunje kibubu huezi pata viwango vya kina Rabiot huo mfumo ni kudanganyana tu mbona anafosi Hendo acheze akijua wazi ni mzigo kwa team.
Mtazamo...Kama anafikiria hivyo sawa labda anatudanganya kweli...
Sorry unasema mzigo ukiwekwa hapatikaniki mchezaji wa maana zaidi ya rabiot...au nimeelewa vibaya mkuu
 
"Joel Matip looks good but is not ready for tomorrow's game against Leicester city "

MY QUESTION IS

Dejarn Lovren or Joe Gomez against Leicester city tomorrow.
 
"Joel Matip looks good but is not ready for tomorrow's game against Leicester city "

MY QUESTION IS

Dejarn Lovren or Joe Gomez against Leicester city tomorrow.

What is your question so far?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…