Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Brother una mipasho sana utadhani game unaangalia peke yako...Salah bado hayupo kwenye rythm yake anakosa clear chances nyingi na kushindwa kufanya maamuzi sahihi awapo na mpira

Anayekosa nafasi nyingi lakini akafunga Magoli Mawili ni bora kuliko yule asiyekosa nafasi nyingi lakini hafungi goli hata moja
 
We jamaa comment yako inachekesha sana.
Sijawahi kumkubali huyo magwaya , ukiacha World cup alivyopambana , maana hata pale Leicester yule Soyuchu kaziba pengo lake vzr ,utadhan hakukuwahi kuwepo MTU anaitwa magwaya ,
 
Sikatai kuhusu usemayo kwa Mo, tatizo ni game ya jana unavyomsema,

Mkuu huyo Liverpool nzima kwakr mchezaji ni Origi tu! Sasa kelele zote hizo ni kwanini Salah haekwi benchi anachezeshwa Origi tu?

Sasa sijui kocha gani Dunia hii atakae mueka Benchi Salah Kwa kumchezesha Origi?
 
Tumepata matokeo timu ipo vizuri, kikubwa beki line hasa full beki zetu ziwe zinagawa Muda wa kupandisha mashambulizi kuliko kushambulia muda Wote

Hii inawafanya wachoke hivyo kuwapa tabu CB mfano jana Robb na TAA walikuwa wanachelewa kurudi matokeo yake VVD akawa anafanya Kazi za watu watatu ukizingatia Gomez ametoka majeruhi hana fitness ya kutosha

Pia wachezaji wanaonekana wana uchovu sana lazima tuwape nafasi wengine
 
Mkuu huyo Liverpool nzima kwakr mchezaji ni Origi tu! Sasa kelele zote hizo ni kwanini Salah haekwi benchi anachezeshwa Origi tu?

Sasa sijui kocha gani Dunia hii atakae mueka Benchi Salah Kwa kumchezesha Origi?
Umeamua kunilisha maneno sio...jaribu kuona uhalisia kwanamna gani Salah makali yake yamepungua ambapo sio kitu kigeni kwa wachezaji
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…