Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Brother una mipasho sana utadhani game unaangalia peke yako...Salah bado hayupo kwenye rythm yake anakosa clear chances nyingi na kushindwa kufanya maamuzi sahihi awapo na mpiraSalah jana aliokoa Jahazi lakini no one talks about him! The day atakapotoka uwanjani goalless ndiyo wataibuka watu from nowhere wamdismiss kuwa aekwe bench.
Siku atakayotokea Origi kufunga goli (Sorry sijui mara ya mwisho kuifungia goli Liverpool ni mini?) ndiyo utasikia Origi bonge la mchezaji aanze yeye Salah aekwe Benchi.
But mkali ataendelea Kuwa mkali tu
Akiboronga VVD kelele kila kona ila akibolonga Magwaya kimyaaaa 😂😂😂Halafu washabiki wengi wa Timu nyengine (isiyokuwa Liverpool) wamekuwa obsessed na VVD kupita kiasi.
Hii yote ni kuonesha Ubora wake Kwa jamii kiasi ya kwamba wakiboronga kina Zouma na Lindelof hakuna anaewauliza. Lakini akikosea VVD game moja tu basi kelele kila Kona ya Dunia.
Unajua kwanini....?? Kwa sababu mapambio ni mengi kiasi kwamba yeye ni beki bora kabisa duniani... Hatutegemei hayo kwa beki kisiki/stopper bora kabisa.Akiboronga VVD kelele kila kona ila akibolonga Magwaya kimyaaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Kutana na Hwang wa Salzburg [emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]VVD aliomba game iisheView attachment 1222308
Mjapan huyo yuko vizuri sana tatizo wachezaji kama hawa unatakiwa kuwafuatilia mechi nyingi ujuwe uwezo wake ila kwa jana alikuwa super anaonekana akili ya kusoma game na ufundi yuko vizuri. napata picha ndio anacheza nyuma ya Sadio, Bob na Mo yaani hatari kama namuona anapitisha pasi tu sehemu zake. kwa style yetu tunataka mchezaji kama huyo number 10 sababu haileti maana kuwa na Fab na Hender kucheza pamoja wanafana. Hender ni kama anatafutiwa position ya kucheza ila tukiwa na mtu kama Imunina basi Fab and Mid mwingine kufanya kazi ya ulinzi tu dogo kusambaza.
Mjapan huyo yuko vizuri sana tatizo wachezaji kama hawa unatakiwa kuwafuatilia mechi nyingi ujuwe uwezo wake ila kwa jana alikuwa super anaonekana akili ya kusoma game na ufundi yuko vizuri. napata picha ndio anacheza nyuma ya Sadio, Bob na Mo yaani hatari kama namuona anapitisha pasi tu sehemu zake. kwa style yetu tunataka mchezaji kama huyo number 10 sababu haileti maana kuwa na Fab na Hender kucheza pamoja wanafana. Hender ni kama anatafutiwa position ya kucheza ila tukiwa na mtu kama Imunina basi Fab and Mid mwingine kufanya kazi ya ulinzi tu dogo kusambaza.
Big pointLiverpool msipochanga karata zenu vizuri huenda mkatolewa group stage.
Kuna uchovu unawanyemelea mastaa wenu kutokana na kucheza game nyingi mfululizo bila kupumzika.
Mnapocheza game rahisi za ligi mjaribu kuwapa game tamu kina Origi na Shaqiri wawe na match fitness vinginevyo huko mbeleni mtaanza kupoteana.
Hatununui kwa ajili ya uefa bali kwa ajili ya eplWadau mnasahau hii ni champions league. Salzburg wachezaji wanajua dunia inawaangalia na wanatafuta soko la kununuliwa. Nani alitegemea napoli anhetoka sare na Genk? Naona watu wameshaanza kusema January tununue. Utamnunua wapi huyo mchezaji mzuri ambaye hachezi champions league??
Huyu atakuwa ni mkenyaHivi braza huwezagi kabisa kusema dogo badala ya ndogo au madogo badala ya mandogo?
Huyu bwana ni balaa ..jana beki bora kabisa VVd alipata tabu mnoo..Kutana na Hwang wa Salzburg [emoji23][emoji23][emoji23][emoji91]VVD aliomba game iisheView attachment 1222308
Haha eti marahaba..!marahaba !
shoga yake na midfriderNi nani sasa
Unaposema timu inapata matokeo yasiyokuridhisha unamaanisha nn!!? Ni matokeo gan ambayo unaona ww hayakupasa kuwa vile.Kumbuka timu zote tunazokutana nazo zinakuwa zimejiandaa vya kutosha ili kuhakikisha zinapata matokeo..... Na wanapata hasira sana hasa pale wanapokwama kupata matokeo kutoka kwetu...... Nikuambie kwa sasa hakuna timu ambayo haipendi kupata matokeo kutoka kwa Liverpool kwa sababu ya ubora ambayo Liverpool inayo..... Kwa maana kama timu itapata matokeo kutoka kwa Liverpool inakuwa imejiconsider kama ina muelekeo mzuri coz ni timu bora kwa sasa..... Kwa hyo ndgu tegemea kukutana na mechi ngumu sana hapo mbele yetu... Kila tunayekutana nae atakaza sana hata kama ni wa daraja gani afu wanacheza kwa umakini mkubwa sana kuogopa wasijefanyiwa kitu kibaya cha uzalilishaji.... Timu yetu ni bora kwa sababu inapata matokeo kwa nyakati zozote zile... Uwe ni mgumu ama sio mgumu..... Kama timu ingekuwa mbovu jana tungelazimishwa sare. Matokeo ambayo yangekuwa mabovu sana zaid kwetu... Lkn wachezaji wamejitahid na tumepata matokeo..... Kwangu naona tunapata matokeo mazuri japo tunapitia kipindi kigumu ambacho kila timu inakuwa chonjo kutokana na ubora ambao tunao kwa sasa.... #TIMU BORA INAPATA MATOKEO KWA NAMNA YOYOTE ILE.....!!!Kuna jambo la kujifunza hapa kwa kile kinachoendelea liverpool kwa sasa, timu inapata matokeo kwa performance isiyoridhisha, ili jambo laashiria nini?
Genk alishinda au ..ndio raha ya mpira ndugu usiyotarajia yanatokea ndio unaona jana uzembe umetu cost...
pazuri ni pointi tatu muhimu sana zimepatikana hayo mengine naamini Klopp na jopo lake wapo kazini tayari kuyarekebisha...
zaidi ya yote Genk kumkomalia Napoli imelifanya hili kundi kua balance zaidi..
Hatari sana Baba Swalehe yuko vizuri mnoo ..sisi wengine wa dasaa la saba tupambane na khali zetu [emoji3][emoji3][emoji3]all the best ndugu hakika ma neuro s wanahitajika kwa wingi maaana kuna uhaba...
wish you the very best comrade...
Bora huku CL tuwape wengine ukweli kabisa Liverpool tunahitaji sana kushinda EPL kuliko CL. Ukiniuliza mimi kama mshabiki ubingwa gani utanipa furaha ya mwaka ni EPL. CL iwe kama bonus tu mwaka huuLiverpool msipochanga karata zenu vizuri huenda mkatolewa group stage.
Kuna uchovu unawanyemelea mastaa wenu kutokana na kucheza game nyingi mfululizo bila kupumzika.
Mnapocheza game rahisi za ligi mjaribu kuwapa game tamu kina Origi na Shaqiri wawe na match fitness vinginevyo huko mbeleni mtaanza kupoteana.
Brother una mipasho sana utadhani game unaangalia peke yako...Salah bado hayupo kwenye rythm yake anakosa clear chances nyingi na kushindwa kufanya maamuzi sahihi awapo na mpira