Kubahatisha mpaka uichezee Liverpool co mchezo masta.Acha atembelee bahati yake bhanaa mpira wala hajui uzuri kabahatisha mechi zote muhimu ndomana kapata mkataba.
Na zali lake lingine Solanke hajafunga hata goli na dakika kibao kapewa bila hivyo ilikua kwa heri
FT: SHU 0-1 LFCkuanzia 60' onward hawa minnows lazima tu ulimi utakuwa nje.
prediction: a win for LFC plus a clean sheet.
Ila tuendako kama hatuto badilika ugumu ni mkubwa sanaIF YOU WANT TO WIN SILVERWARE ,TAKE THE THREE 3 AND RUN.
Mbona niliwaomba idadi ya mechi alizoanza origi na idadi ya magoli aliyofunga hamtoi mnalilia consistency [emoji23][emoji23]Tunachoangalia ni consistency performance, hatuangalia performance ya mechi moja.
Tuendelee tu kumvumilia jamaa na bahati yake mana ukiondoa zile za league hizi mbili za kutupa ubingwa nafarijika sana.kwa vile hajui mpira acha atembelee bahati yake.Kubahatisha mpaka uichezee Liverpool co mchezo masta.
Origi co mchezaj mkali sana ila Ana nidhamu kubwa sana ya mpira na anafanya kile kidogo anachokijua kwenye mpira kwa usahihi mkubwa.
Football without Origi is nothing
Nyie maboya mnataka kutuchania mikeka sio
wakihitaji point wanapataTulia wewe, sisi tunamwezesha kila mmoja kwa mahitaji yake.
Ahahah aiseeeeTulia wewe, sisi tunamwezesha kila mmoja kwa mahitaji yake.
HahahTulia wewe, sisi tunamwezesha kila mmoja kwa mahitaji yake.
Ilikuwa mechi ngumu sana. Labda kuliko hata itakavyokuwa dhidi ya UnitedMiongoni mwa mechi ngumu kabisa tokea tuanze EPL ni hii ya leo
kaka hawa jamaa mie nilishajua leo tutahitaji some compact in the back and very patient ndio tutoke salama....Miongoni mwa mechi ngumu kabisa tokea tuanze EPL ni hii ya leo
Hahah
Don how are you broh ?