Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ha ha haaa mzee wa chenga moja bhana ana bahati sana.
Walau mtu hujui mpira lakini bahati uwe nayo basi kila siku watu wanatokea benchi wankufunika khaa
 
Mliokua mnamponda Origi nadhani mnaona impact yake
Acha atembelee bahati yake bhanaa mpira wala hajui uzuri kabahatisha mechi zote muhimu ndomana kapata mkataba.

Na zali lake lingine Solanke hajafunga hata goli na dakika kibao kapewa bila hivyo ilikua kwa heri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…