Kumbe ni mpaka apewe dakika nikajua tayali kawiva kwa kupokea namaba ha ha haaa sifa zilizidi mpaka nikahisi Oweni mpya anakuja.Rhian huwezi kumjaji kwa mechi tu ambayo imecheza Team A jana, aedelee kupata dakika ndio angalau tuone kama ni asemavyo Klopp.....
Anahitaji apewe service ya kutosha pale mbele..muda utasema
Mitazamo mzee sasa kuna watu wasema Brewster ni mkali sana kumbe mzurulaji tu anae subili nafasi za kufunga kama KarollDoh hapo mwisho ndipo paliponikereketa
Sina hakika kama mwenyewe anajua
hahaha itambidi mmzime kabisaaa maana tulikua hatupumui kuambiwa VVD wetu kazidiwa sio bei mbali na uwezo pia lakini msimamo wa ligi EPL unasema yoteHuyu magwaya aliyekuwa ankimbizwa na kina wilshare?????hahahah lazma alale na viatu
hayupo proven ndugu bado ni raw talents and tooo bad too many injuries has affected the young lad so until he proves he is worth the number hata kwa benchi ni kuzidi kusubiri tu...Kumbe ni mpaka apewe dakika nikajua tayali kawiva kwa kupokea namaba ha ha haaa sifa zilizidi mpaka nikahisi Oweni mpya anakuja.
Kama ni mpaka service basi wapewe makinda wote wenye muelekeo mzuri Jones Glijic wilson Hoever Chelavell Wodban yule Elioti ahamishe kabisaa akae kwa wakubwa.
Wodban anamzidi uwezo Hendason yeye anamzidi uzoefu tu
jaman mm ni kop mwenzenu billy shank ni muumin wa liverpool damu toka mwaka 2001
Klopp is a football genius and one of the best motivators, the effect that kind of statement has is so big to the players...Enjoy soccerView attachment 1217762
Nipigieni nyumbu nifurahi aise yaani siku hizi weekend napata furaha twice maana me nikishinda ni furaha ya kwanza , ila manyumbu yakifungwa ni furaha ya piliHuyu magwaya aliyekuwa ankimbizwa na kina wilshare?????hahahah lazma alale na viatu
Sijui kwann hizi game za mapema huwa zina matokeo ya ajabu ajabu sana.. anyways let's pray for the good kwa chama letu..kiufupi lfc msimu huu lfc imeanza kwa kunipa raha hadi sioni hata Cha kuandika zaidi ya kusoma maoni tu na kulike. Hasa ya wadau ambao kiuhalisia mna upeo kidogo mkubwa kwenye kuchambua mpira (jicho la tatu).Leo tupo mapema sana
Leo everton wakaze basi... hata draw[emoji28]
Kwa iyo nyie mshachukua point tatu tayar?Leo everton wakaze basi... hata draw[emoji28]
Hivi Robbie folwer aliondoka Liverpool akarud tena?Last time we played at Bramall lane......August 2006...Our first XI was ..
Reina
Kromkamp
Carragher
Sami
Fabio
Zenden
Sissoko
SG8
Riise
Fowler
Bellamy
Coach-- Rafa
Tulidraw 1-1 goli alirudisha Fowler kwa penalty ..beki wa kutumainiwa Carragher akapata injury ...Xabi injury ...huku game inayofuata ya champions league (tukiwa mabingwa watetezi [emoji4])...
That is past ...today is the gift that's y we call it PRESENT ..It's 2019... Let's do this [emoji123]the redmen
#YNWAView attachment 1217770
Ila hakuna furaha kama man u akipigwaNipigieni nyumbu nifurahi aise yaani siku hizi weekend napata furaha twice maana me nikishinda ni furaha ya kwanza , ila manyumbu yakifungwa ni furaha ya pili