Nimemkumbuka MOMO SISSOKO ni mchezaji aliyenifanya nipende kuangalia mechi za Liverpool kipindi kile aiseeeehhhh
Life's goes on....
Kama mimi Laccazete anavyonifanya nipende kuangalia mechi zenuNimemkumbuka MOMO SISSOKO ni mchezaji aliyenifanya nipende kuangalia mechi za Liverpool kipindi kile aiseeeehhhh
Life's goes on....
Hv ww origi unamjua au????? emb katafute mech alizoanza origi na idadi ya magol aliyofunga halafu urud hapa
Football without origi is nothing
Aiseeeeeehhhhh haya mahaba nichinje
Fifa wanasema jamaa walisaini kwa herufi kubwa na hairuhusiwali bla bla...pia Sudan nao kura zao ziliharibika..wote ambao wanahisi hawajatendewa fair Fifa wamesema waandike barua..
Klopp is the best coach on the planet.kwaiyo pep sio bora? au miliner ni kijana ?
Uyo Origi alianza ile fainal ya community shield dhidi ya Man city ila ni mmoja wa wachezaj walopooza mashambulizi sana sku ile na ile chenga yake moja hiyo hiyo muda woteImani kama hizi juu ya Wachezaji average kama hawa ndiyo iliyofanya tusiishuhudie EPL kwa miaka 29
Pumzisha Mane au Bobyy kwa Mechi 5 mfululizo halafu acheze Origi hizo mechi 5 mfululizo then tuone nini kitatokea.
Kama tunahitaji Mchezaji kama Origi basi hatukuwa na sababu yeyote kumuuza Benteke.
Wajina w/end hii mtatoboa mazee?
Hawa kina Messi na Ronaldo as long as hawajastaafu kucheza soccer basi FIFA haotoacha kuwa Corrupted
😀😀😀😎😎😎[emoji23]
Reporter: Are you surprised by the speed of Alisson's return?
Klopp: I don't know how long we said he would be out, do you know?
Reporter: A couple of months...
Klopp: And how long has he been out now?
Reporter: A couple of months...
that aside Messi had a brilliant season at that age and still performing at that level is just awesome...Hawa kina Messi na Ronaldo as long as hawajastaafu kucheza soccer basi FIFA haotoacha kuwa Corrupted
hahaha all that best, itakua gemu powa nahitaji kuona sifa za huyo Maguire mbele ya Auba itakua aje....Hahahaaaaa sisi tupo na BLUE MONDAY....lazma tuwaoneshe wale mashetani,na Muhindi wetu akiamka vizuri tunaweza rudia yaliyotokea weekend iliyopita kwa NORWICH maana huyu manure tutapiga wachakae
Uyo Origi alianza ile fainal ya community shield dhidi ya Man city ila ni mmoja wa wachezaj walopooza mashambulizi sana sku ile na ile chenga yake moja hiyo hiyo muda wote
hawa watu inabidi waelewa kua Origi is a good player ila sio kama tunavomu overate
Jamaa anavyo receive mpira na anavyotoa hadi raha afu bado mdgo..Huyu Harvey Elliott kama hatovimba bichwa kutokana na kusifiwa basi atakuja kuwa the Liverpool's best player of all time.
Jamaa anavyo receive mpira na anavyotoa hadi raha afu bado mdgo..
Na ninachokipenda zaid anaipenda sana liverpool anachowaza ni ataifanyia nini liverpool na sio kwenda klabu zngne...,
Tukiendelea kuwa na wachezaj wenye uchungu na liverpool na waliokuja kwa mapenzi yao basi tutakuwa vzuri sana kwa muda mrefu.
Huyu magwaya aliyekuwa ankimbizwa na kina wilshare?????hahahah lazma alale na viatuhahaha all that best, itakua gemu powa nahitaji kuona sifa za huyo Maguire mbele ya Auba itakua aje....
Uyo Origi alianza ile fainal ya community shield dhidi ya Man city ila ni mmoja wa wachezaj walopooza mashambulizi sana sku ile na ile chenga yake moja hiyo hiyo muda wote
hawa watu inabidi waelewa kua Origi is a good player ila sio kama tunavomu overate
Ndyo mkuu.. ile game tulimlaumu sana Salah na uchoyo wake ila jamaa ndo aliharibu zaidi na hiyo hiyo chenga yake moja ampite walker na stones(kama sjakosea) ila ikafail, hata game na southampton chenga zake hizo hizo nusura zitu cost.. Namkubali jamaa kwenye aerial balls anajitahidiIle chenga yake ya kutishia mkuu,kama anapiga....hahaha nilizipigaga sana zile enzi za primary kule ETIHAD STADIUM ....MWANANYAMALA "B"