Huyo jamaa sijui ana macho gani yeye huyo brewaster hamna kitu kabisaa alikua na zurula tu na shabiki wengi wameonyesha kukata tamaa juu yakeMimi sijaangalia Mpira lakini mbona Ratings na comments za Wadau kwenye Platforms mbalimbali zinatofautiana na uliyoyaandika kuhusu Jones?
Wamemsifu sana kuwa ana kipaji
Pre sison nimemuona hamna kitu yale magoli alikua anakutana nayo tu sijaona ziada kwakelabda kama mechi ya jana imemkataa maana sjawah kumuona kabla
Nasikia Tuhuma tuzo za FIFA ni kweli au uzushi tu?
Kabla ya kuumia jamaa alikua vizuri na alikua tegemezi kumbuka alicheza nafasi ya SturregeMkuu Mimi Naangalia Performance na Mchango wa Mchezaji kiujumla Maenye Career Yake na Wal a sidondoi kwenye mechi mojamoja kuwa alifanyaje!
Nitanihisi Mimi ni Mtu wa ajabu sana iwapo nitauona Origi kuwa ni Bonge la Mchezaji kwasababu tu ati aliwafunga Barcelona.
Vipi kuhusu tens of Games ambazo anacheza akiwa na poor performance?
Nitaendelea kumuheshimu tu kwa Mafanikio aliyotupatia kwa mchango wake wa CL lakini si sababu ya kuwa Origi ni mchezaji sahihi wa timu inayotafufa Mafanikio kama Liverpool.
Ni pure one game wonder
Hapo anasubiri game moja Ngumu anakuja tena kututoa kimasomaso then anapotea tena.
Chama cha Soka cha Egypt kimepeleka Malalamiko yao FIFA kutaka Maelezo kwanini Wawakilishi wao Watatu ambao Wote Katika kura 3 kila mmoja (Jumla 9) walizowapigia kati ya Mo Salah, Mane + Mwengine kura zao walizopiga hazikuonekana kwenye Hesabu.
Yani hazikuhesabiwa bila ya sababu yeyote.
mchukueni singanoKwa haina ya mpira wa madogo jana..liverpool tunatakiwa kuwekeza zaidi kama tunataka kuwa na future na muendelezo mzuri,hatuna madogo wanaocheza mpira wa kipaji wote wanacheza mpira wa kufundishwa hakuna natural tarents...!
Huyo jamaa sijui ana macho gani yeye huyo brewaster hamna kitu kabisaa alikua na zurula tu na shabiki wengi wameonyesha kukata tamaa juu yake
Fifa wanasema jamaa walisaini kwa herufi kubwa na hairuhusiwali bla bla...pia Sudan nao kura zao ziliharibika..wote ambao wanahisi hawajatendewa fair Fifa wamesema waandike barua..Chama cha Soka cha Egypt kimepeleka Malalamiko yao FIFA kutaka Maelezo kwanini Wawakilishi wao Watatu ambao Wote Katika kura 3 kila mmoja (Jumla 9) walizowapigia kati ya Mo Salah, Mane + Mwengine kura zao walizopiga hazikuonekana kwenye Hesabu.
Yani hazikuhesabiwa bila ya sababu yeyote.
Hv ww origi unamjua au????? emb katafute mech alizoanza origi na idadi ya magol aliyofunga halafu urud hapaMkuu Mimi Naangalia Performance na Mchango wa Mchezaji kiujumla Maenye Career Yake na Wal a sidondoi kwenye mechi mojamoja kuwa alifanyaje!
Nitanihisi Mimi ni Mtu wa ajabu sana iwapo nitauona Origi kuwa ni Bonge la Mchezaji kwasababu tu ati aliwafunga Barcelona.
Vipi kuhusu tens of Games ambazo anacheza akiwa na poor performance?
Nitaendelea kumuheshimu tu kwa Mafanikio aliyotupatia kwa mchango wake wa CL lakini si sababu ya kuwa Origi ni mchezaji sahihi wa timu inayotafufa Mafanikio kama Liverpool.
Ni pure one game wonder
Hapo anasubiri game moja Ngumu anakuja tena kututoa kimasomaso then anapotea tena.
Doh hapo mwisho ndipo paliponikereketaHv ww origi unamjua au????? emb katafute mech alizoanza origi na idadi ya magol aliyofunga halafu urud hapa
Football without origi is nothing
Mzee wa Arsenal halisi, EFL mmepangwa na chinja chinja.
Aiseeeeeehhhhh haya mahaba nichinjeHv ww origi unamjua au????? emb katafute mech alizoanza origi na idadi ya magol aliyofunga halafu urud hapa
Football without origi is nothing
Mahaba nipwelepweteAiseeeeeehhhhh haya mahaba nichinje
HahahahahahahahahHv ww origi unamjua au????? emb katafute mech alizoanza origi na idadi ya magol aliyofunga halafu urud hapa
Football without origi is nothing
Mzee wa liver, nakuja kuchinja jogoo hapohapo uwani kwenu.....
Hv ww origi unamjua au????? emb katafute mech alizoanza origi na idadi ya magol aliyofunga halafu urud hapa
Football without origi is nothing
Hahahahahahahahah