Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Kuna Game 2 za kujipigia hapo mbele kabla ya kukutana na Manure
Hii game tumeshinda kwa jitihada za baadhi ya wechezaji sio kwa mbinu za klopp
Huyu Lampard sio kocha wa kubeza
alivyo tanua tu na kuzuia flanks tu na kulazimisha mpira uchezwe kati
tukapoteana hadi aibu
kocha lazima atafute solution ya midfield
kutegemea wingbacks kila siku..kuna siku tutaumbuka
kipindi cha pili presha tupu
Nimeshalizungumza sana hili kuwa tuna tatizo kwenye Mido!! Lakini cha ajabu kila mwanzo wa Msimu tunatamnulishwa Milner na Lallana kuwa ni New signing
Achana na watu wasiojua mpiraHongeren Kopities
Kwakunipigia Ollachuga na genge lake



Huyu Lampard sio kocha wa kubeza
alivyo tanua tu na kuzuia flanks tu na kulazimisha mpira uchezwe kati
tukapoteana hadi aibu
kocha lazima atafute solution ya midfield
kutegemea wingbacks kila siku..kuna siku tutaumbuka
kipindi cha pili presha tupu
Hahahah umefufuka Ollachuga OcHongereni Liverpool..
Kila la kheri Chelsea![]()
Hahaha 😅😅
Hapo ndipo alipotupatia. Nilihisi kuna kitu kakiona. Within 15mins kufanya sub. Nikishtuka sana. Alisababisha hakika tutafute njia kati, kitu ambacho kwa sasa hatukiwezi kabisa. Labda Harry Wilson arudi.
Tumshukuru Mungu kama 072 alivvyoomba mapema na tumeshinda otherwise leo ilikuwa tupigwe aisee.