Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa jila la Muumba mbingu na nchi, tunajua kuwa wewe ni uwezo na unaweza. Tunakuomba baba uende kuweka umoja kwenye timu yetu tunapokwenda kupigania point tatu leo, baba ukaondoe tofauti za forward line yetu, uweke umoja na kuondoa utengano na tamaa kati yao.Kaweke macho kwenye miguu yao baba ili mashoot yalenge goal.

Baba tunaomba na kukushukuru.

AMEN
Mkuu maombi yako yamejibiwa...

Amen and Amen.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom