Ziroseventytwo
Platinum Member
- Mar 27, 2011
- 9,397
- 17,782
Kule Emirate Aseno anatembelea chock. Kashapigwa 2-1 na kadi nyekundu juu.
Yajayo yanafurahisha
Yajayo yanafurahisha
What do u mean mzee?Mbona game ipo hivi wakati bado mapema?
Relax brother
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimecheka sanaZouma: "I always hear about Salah Firmino Mane deadly combination but I don't think they'll score a single goal against us"
Sisi nani hata tumbishie kamanda Zouma. [emoji23][emoji23]
Hili gemu liishe haraka kabla sijadedi kwa preshaKwa mpaka sashivi nadeclare kuwa Salah kwenye game ya leo ameflop
Inakera sana asee... ngoja nizime. Sitakagi ujinga mimiLallana! Sijui nizime TV?