Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
Maguire yupo vizuri ile bei jamaa hawajapigwa hata kidogo...Maguire tatizo hana speed tu ila naona kama ni mzuri kuliko Matip
huyu ndogo tangu awe partner na VVD kiwango kumekua sana kwa kweli yupo makini kwa last tackle or last block ndio mwenyewe aafu kinachonifurahisha na anvyokua hana papara wala maneno mengi uwanjani yeye ni kazi kazi...Ila hili jamaa Matip limenoga sasa hivi , linacheza vizuri lina win aerial duel , linapiga pass za mashambulizi vzr , limemnyang'anya namba Gomez kirahisi sana.
kama unamkumbuka alivyokua kipindi cha nyuma utaona jamaa kila kukicha ana improve...Matip sio beki makini ndugu yangu, anajitahidi kuimprove lakini bado sana
Kadiri siku zinavyosonga jamaa ana improve sanaMatip sio beki makini ndugu yangu, anajitahidi kuimprove lakini bado sana
Well said my fellow Kopkama unamkumbuka alivyokua kipindi cha nyuma utaona jamaa kila kukicha ana improve...
a player that learns ,works hard and become better and better is pure gem aiseee, bei zilizopo sokoni kumpata like for like wa Matip ni majanga sana...
jiulize mbona Lallana na Hendo wapo pale pale stagnant as ever no improvement alipowakuta Klopp ni hapa hapa walipo...
Yes ,anatia moyo development yakeKadiri siku zinavyosonga jamaa ana improve sana
Well Said NgwabaNdiyomana kukabuniwa Msamiati unaitwa "MAONI" kwasababu kama hizi.
Kulingana na Maoni/Mtazamo wa Mourinho Robben hakuwa mchezaji wa maana, Lakini kulingana na Maoni ya LVG Robben ni one of the Best player in last Two decades.
Kama hao Magwiji wawili katika ukocha wametofautiana Mtazamo juu ya mchezaji mmoja basi hakuna sababu ya kuwa Mimi na wewe tusitofautiane kwa mchezaji mwengine mmoja as long as tutaheshimiana kwenye kutoa Maoni yetu.
Kwa uwezo wangu hata kama ni mdogo wa kutazama mpira basi nasema popote kuwa Matip ni miongoni mwa mabeki bora japo hajafikia level za kina VVD.
Mimi Beki ninampima kwa Vitu viwili tu!
1) Uwezo wake wa kukaba
2) Kutokuwa na error prone zinazoleading to goal
Sasa Matip tumchambue katika mambo hayo Mawili!
1) Je ni error prone?
2) Je from last season to this season amefanya error ngapi zilizopelekea goli?
3) Amekuwa mzembe kwenye kukaba au anashindwa kabisa kukaba kwenye Defence?
4) Naomba mifano ya hizo mechi ambazo utazijibia hayo maswali.
Nadhani ukijibu hayo maswali ndiyo yatatupa picha kuwa Matip ni beki wa aina gani.
Lakini tukiendelea kusema/kuamini tu kuwa Matip ni beki mbovu bila ya kuthibitisha huo ubovu wake na kwa Mechi zipi! Hapo itakuwa tunazungumzia ubovu wa kinadharia.
Kwamfano Mimi ukinihoji kwanini ninasema Hendo mbovu?
Nitakujibu kuwa Hendo ni Attacking Midfielder (AM)
Kwahiyo AM ninampima kwa mambo hayo.
1) Assists
2) Goals
3) Take on
4) Touch
5) Passes complete
6) Dribbling
Sasa kama Ndani ya Msimu mzima hafiki ata Assists 7 wakati Beki TAA ana 13 hapo nitamuelewaje?
Nikitazama Wachezaji wa Kawaida tu kina Fraser wana takriba Assists 15 kwenye EPL tu, yeye kwenye all competitions hafikishi hata assists 7 halafu mtu aniambie ni Mzuri kwasababu akiwa hana mpira ni Mkali?
AM hafikishi hata Goli 5 per season in all competitions?
AM hawezi hata kukokota mpira na kudrible?
Kwahiyo nakuomba ujenge hoja kwa mifano juu ya ubovu wa Matip na si kushikilia misimamo tu kuwa Matip ni Mbovu.
💯💯 sure kabisaa....how he conduct his business wt ease and compusure is just superb....playing beside VVD has done him wonders..Well said my fellow Kop
Anajitahidi kuimprove and that the thing that also makes me having a bit of belief on him
Lallana na Hendo yale ni magarasa ya kizawa ambayo rangi na uzawa unayabeba
Na ndio maana watu wanamchukia si unajua watanzania tulivyoWw jamaa unajua sana kujenga hoja
Well Said Ngwaba
Mechi iliopita ya LFC na Newcastle lile goli alilotufunga yule dogo wa Newcastle kafanye review videos za lile goli kama mfano mdogo tu umuangalie Matip anafanya nini wakati dogo anafunga
Klopp muamini H.Wilson
couldnt say otherwise maana at Manu, Chelsea, Spurs oflate wamekuza ma forwards from within...Time for klopp to give Brewster chances
Jana katupia goli nzuri, anajua kuji position and once he improves his movement with and without the ball Bono fans watamfaidi...Klopp muamini H.Wilson
TAA mdogo mdogo kiwango kinarejea....Kwenye lile goli kwa asilimia 100% TAA hawezi kukwepa pale
Pale aliyefanya makosa ya Wazi ni TAA na wala sio Matip
Naona umeamka nazoHarvey Elliott ni most talented Winger kuliko Mane na Salah
Najua watu watanipinga bila ya kuniuliza reason! Lakini ukweli ndiyo huo
Kwasasa at 16 bado ni Mdogo kumuingiza kwenye Senior Team lakini he is best than any other Liverpool player
Its only matter of Time before making his Debut at Senior Team