Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Vvd anacheza zama za wakina rashford na abraham hamna kitu mule sema ni zuma aliechangamka tu
Dah halafu kweli aise ..kakutana na watoto walaini laini akina Rashid, lingard, angekutana na minjemba akina Didier, CR7 uko..
 
ni lini hamkuwahi kuitamani EPL mkuu?last season au?maana hili kombe kuna raia wametoka academy hapo liver na wameshastaafu now lakini hawakulinusa,dah aiseeeeeeeeeeeehhhhh

Mkuu tusichekane nakushauri!

Sisi tumetangulia lakini ukweli ni kwamba tumo in the same boat
 
Ficha ujinga wako



Nenda kawaambie kina jones hayo maneno
Lakin mkuu VVD sioni kama ana tofauti sana na Zouma, Sema labda experience tu na ilikuwa ni wakati wake wa kushine ..mim naona radika yupo sawa tu ..magwaya is better so far than VVD ..

VVD wa msim uliopita ni tofauti sana na msimu huu..kiwango chako kinazidi kushuka taratibu..

Uwepo wa Allison unaficha makosa mengi ya VVD [emoji3][emoji3][emoji3]

Najua mutabisha lakini VVD time will tell..

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]
 
Sema hii kali daaah![emoji23][emoji23][emoji23] ya kibabe sana ..

Eti VVD ni Zouma aliyechangamka hahahahahahahahahaha

Kila la kheri Chelsea[emoji170][emoji170][emoji170]

Wenyewe wamechukia balaa
 
Katika mashabiki wa MANCHESTER UNITED humu JF ambao hawajui chochote kuhusu mpira RADIKA ni namba 1.

Kwa sababu nimesema VVD ni zouma aliechangamka et? Basi nakazia hapohapo VVD ni ZOUMA aliechangamka
 

Naona mmejaa upepo mpira ni utani wengi mnachukulia serious mwisho wa siku mtang’oa viti shauli yenu
 
ni lini hamkuwahi kuitamani EPL mkuu?last season au?maana hili kombe kuna raia wametoka academy hapo liver na wameshastaafu now lakini hawakulinusa,dah aiseeeeeeeeeeeehhhhh

Hahahaha
 

Mkuu angalau wewe nakupa heshima hapa ktk jukwaa hili unajadili mpira ila sio kumshambulia mtu unakuja na starts ambazo za kimpira heshima kwako huu sasa ndo ushabiki sio wenzio wanaongozwa na hasira wanasahau mpira huambatana na utani bila utani na dhihaka hamna mpira jamaa zako kama wawili humu wametoa povu sema hamna viti wengeshang’oa
 
Ficha ujinga wako



Nenda kawaambie kina jones hayo maneno

Hizi ni hasira za kukaa muda mrefu bila kubeba kitu chochote muda wote zinatoka kauli za ajabu ajabu ulitegemea mimi nitamsifia VVD? Bila utani unafikir haya majukwaa yangekuwepo? Muwe mnapunguza mihemko sio kila anaeleta utani ni mjinga hapo mjinga unaweza kuwa wewe umeona post ya kijinga halafu una m-qoute mjinga unategemea mjinga atabadilika baada ya ww ku m-quote?
 
Akashabikie ragbi kama vip huwez ongea mataputapu kama yale juu ya VVD kama sio wivu au uzwazwa

Mfalme VVD kwamba toka liverpool ianze huyo ndo bek bora kuwahi kuichezea hii timu? Yaani unashupaza kabisa et hawez kuongea mataputapu wakat juz katoa assist like phil jones tofaut ni kuwa anachezea timu iliyoshinda kikombe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…