Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,464
- 32,909
well said...pale kati walipakamata vyema...Kwa nilichokiona mimi vs Naples
Wanatufunga kwasababu Plan yao ya kwanza ni Kidhibiti Midfield (Due to our incompetent Midfield) kuhakikisha Kati wanatawala wao ili waweze kuwa na 3 alternatives za kufanya Mashambulizi.
Kutokana na kudhibiti Mido yote basi Mido zao wanaweza kuanzisha mashambulizi upande wa kulia, au upande wa kushoto, au kupitia kati moja kwa moja.
Pia sababu nyengine ya kutufunga ni kwamba kila game wanakuwa na game plan ya kumshut down completely TAA kwani wanajua ndiye threat kwa mpinzani! So, leo wamefanikiwa tena kumzima kama last season asiweze kupanda juu na kitengeneza nafasi.
Pia jambo jengine ni kwamba leo Bobby hakuwa katika ubora wake na huku Koulibaly alikuwa anakwenda na Salah toe to toe pale anapokaribia kwenye 18..
Kutokana na kutokuwa vizuri kwa Bobby pamoja na kukabwa kwa Salah, basi na Mane akawa anapotea kirahisi.
Lallana vs Naples unless Klopp awe amepiga Budwiser...Tulipiga kelele kwenye usajili kuna watu wakatushambulia kuwa eti tuna kikosi kipana cha kina Brewster.
Tukawambia ukitoa kikosi cha kwanza ni mchezaji gani anaweza kuingia sub akabadili matokeo? Wakatuambia yupo Origi, Lallana na Brewster.
Mkuu Klopp alisema hakuna mchezaji anaetaka kuja kusugua benchi hivyo kumpata Strika level ya Lewandoski lazima moja wapo wa hao ma front three ale kona mazima...Ok mi naona kama hizo Plan B na C unazosema tungeanza na mbele kwanza ..mpira ni magoli nafasi zimetengenezwa tumeshindwa kutumia ...angekwepo striker(s) lenye uwezo wa kuscore kama yakina lewandoski ...etc ndo ingekuwa plan B na C ya leo ...pale mbele napo hatukuwa makini..(mtazamo)
Uliliona kama nililolionaHii midfield ya leo tutateseka Sana
[emoji23][emoji16]Ila chelsea kachepuka kwenye kitanda cha mumewe leo kapewa mimba alafu katolokwa, mapenzi ya wizi mabaya sana yaani bao moja tuu mimba.
Kocha wetu kuna muda unatamani vichekesho vya Baba Swalehe kuliko kuangalia upangaji wake wa kikosi
Uliliona kama nililoliona
Milner na Henderson ni wachezaji ambao kama anawafanya starters anaifanya Liverpool kama midtable team
Nashukuru watu mliliona hili
Kwa bahati mbaya hakuna tena timu vigogo za kutisha kivile...mpira umebadilika sanaKwenye hili Group tunapita ila concern yangu ni je tutaongoza hili kundi?
Kuongoza kundi kuna faida yake pale utakapoingia 16 bora na mpinzani utakayekutana nae! Kama hukuongoza kundi manake utakutana na kigogo atakayeongoza kundi.