Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Coutinho Yes Keita ndio mchezaji wa Plan B na C ..ni sawa kwanini Ox hujamuweka hapo hakufaa kweli !!?
 
Coutinho Yes Keita ndio mchezaji wa Plan B na C ..ni sawa kwanini Ox hujamuweka hapo hakufaa kweli !!?
 
Coutinho Yes Keita ndio mchezaji wa Plan B na C ..ni sawa kwanini Ox hujamuweka hapo hakufaa kweli !!?
Chambo bado hajawa fit 100% kwa mikiki ya hawa jamaa na pia ukumbuke wekedi alicheza zaidi ya dakika 65 na pia ukumbuke Jumapili tutakua darajani ambapo ni moja ya uwanja usiokua rafiki kwetu kimatokeo....

Jpili bila shaka ataanza...
 
Hili kuna watu watakuambia ni Tusi umemtukana Kocha.
sio hana Plan B au C pia hana wachezaji wa kubadili set up endapo.iliyopo haileta anachokihitaji...

we lack the players or the bench to rechange the system for us now its all 4 3 3....

for all that we are is down to Klopp magic touch and wisdom...surely he is the engine...he looked relaxed today pamoja na matokeo haya...

its a shame though bench haina any established Forward baada ya Origi kuumia...
 
Liver namtabilia kushindwa kutoboa kwenye Makundi
Kufungwa kwenye mechi ya ni kujipanga zaidi!
Kama wewe unafuatilia vzr misimu miwili iliyopita , Liverpool amevuka hatua ya makundi kwa kuchechemea lakini misimu hiyohiyo miwili alipasua hadi final. Liverpool kwa hili kuvuka wala syo tatizo!
Napoli akiwa nyumbani Liverpool huwa hashindi mechi kwa mechi za karibuni
 
Chambo bado hajawa fit 100% kwa mikiki ya hawa jamaa na pia ukumbuke wekedi alicheza zaidi ya dakika 65 na pia ukumbuke Jumapili tutakua darajani ambapo ni moja ya uwanja usiokua rafiki kwetu kimatokeo....

Jpili bila shaka ataanza...
Ok mi naona kama hizo Plan B na C unazosema tungeanza na mbele kwanza ..mpira ni magoli nafasi zimetengenezwa tumeshindwa kutumia ...angekwepo striker(s) lenye uwezo wa kuscore kama yakina lewandoski ...etc ndo ingekuwa plan B na C ya leo ...pale mbele napo hatukuwa makini..(mtazamo)
 

Kwa nilichokiona mimi vs Naples

Wanatufunga kwasababu Plan yao ya kwanza ni Kidhibiti Midfield (Due to our incompetent Midfield) kuhakikisha Kati wanatawala wao ili waweze kuwa na 3 alternatives za kufanya Mashambulizi.
Kutokana na kudhibiti Mido yote basi Mido zao wanaweza kuanzisha mashambulizi upande wa kulia, au upande wa kushoto, au kupitia kati moja kwa moja.

Pia sababu nyengine ya kutufunga ni kwamba kila game wanakuwa na game plan ya kumshut down completely TAA kwani wanajua ndiye threat kwa mpinzani! So, leo wamefanikiwa tena kumzima kama last season asiweze kupanda juu na kitengeneza nafasi.

Pia jambo jengine ni kwamba leo Bobby hakuwa katika ubora wake na huku Koulibaly alikuwa anakwenda na Salah toe to toe pale anapokaribia kwenye 18..
Kutokana na kutokuwa vizuri kwa Bobby pamoja na kukabwa kwa Salah, basi na Mane akawa anapotea kirahisi.
 
Kwa niaba ya wenzangu kutoka pale OT napenda kuwafikishia salamu za rambirambi. Licha ya marehemu kuwa mjivuni mno na mwenye mdomo mrefu,hatuna budi kuwafariji kwani ni muhimu na inapendeza sana.

Asubuhi wachache tutakuwa hapa tukigawa chai na wengine wataenda kule ddarajani. Tumeona ni vyema kujigawa ili kuwapa faraja ya kweli wafiwa. Hiki ni kifo cha ghafla sana, marehemu alikuwa mbabe jamani!
 

Tulipiga kelele kwenye usajili kuna watu wakatushambulia kuwa eti tuna kikosi kipana cha kina Brewster.

Tukawambia ukitoa kikosi cha kwanza ni mchezaji gani anaweza kuingia sub akabadili matokeo? Wakatuambia yupo Origi, Lallana na Brewster.
 
....hahahaha "marehemu alikua mbabe jamani"

Hii gemu sijaangalia nikijua Liva anashinda nikajikalia zangua nacheza PES mara nasikia msiba.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…