Mkuu namba kupata ngumu sahivi hata carabao cup hawawezi kupangwa..huyo Duncan mwache atafute challenge kwengine ...japo ryan Kent ana kipaji ila sio dogo anahitaji kukipiga zaidi....Yuko na Gerrard sio mbaya....yaani aachwe kuanza Origi awekwe Duncan ,ye alalamike na H.Wilson je!?...mbona glatzel kaongeza mkataba.Ilianza kwa Bobby Duncan, Sasahivi ni kwa Ryan Kent kulalamika.
Kwanini madogo sasahivi wanatulalamikia? Kuna kitu gani behind the scene tunachowafanyia hawa Madogo?
wanavyokua wanasaini mikataba wanapewa na ahadi pia watacheza kikosi cha kwanza...lakini pia ushauri kutoka kwa mawakala na watu wa karibu nalo ni janga kwa hawa makindaIlianza kwa Bobby Duncan, Sasahivi ni kwa Ryan Kent kulalamika.
Kwanini madogo sasahivi wanatulalamikia? Kuna kitu gani behind the scene tunachowafanyia hawa Madogo?
Yan muogope sana mtu mwenye uwezo binafsi-kipaji alafu anatumia miguu yote miwili...japo ni kiungo lakini anauwezo wa kufunga Sana siku izi gari limewaka...nasubiri siku akipigwa 9 ya uongo kama boby...sijui lile HUG la Klopp lina effect kwa hawa wachezaji japo sio wote wapo waliobakia alipowakuta akina Hendo, Lovren, Lallana nk hawakuedelewa wame stuck kabisaaaa...
otherwise wengi wao wamekua moto wanaelewa somo nini wafanye na wakati gani wafanye, ni total game awareness, ufundishangi wa Klopp upo tofauti sana ndio hilo la kuwaona kama wachezaji wengine anaonunua ni wa kawaida lakini akishm profile mchezaji basi kinachofuata ni kum accomodate kikosini ili afit kwenye system...
ukiangalia namna alivyosuka hiki kikosi cha sasa ni kama mchezo wa Chess...all are well calculated players aliowaleta so far...imagine Keita akiwa mzima in full throttle weka hapo na Grujic...yupo na ndogo mmoja Allan mbrazil sijui alishauzwo....
Klopp huangalia mahitaji ya leona yajayo na yajayo ni balaa mno.bei za wachezaji hazieleweki kabisaaaa...
kua na kikosi ambapo Rhian, Origi, Keita hawapo kwa sasa na tupo kamili ni ishara we are heading somewhere nice, zamani hatukua na hio bahati ya kikosi kidogo lakini cha kazi kazi...ni ngumu kushindana mokombe yote lakini upo uwezekano kupata angalau mawili kati ya hayo matano msimu huu palipobaki...
kila mchezaji ana bei na endapo msimu huu tutapata EPLbasi wengi wao watahitaji new challenges hilo halizuiliki...lakini pia ni muhimu kua na wachezaji wenye kutaka kuwepo kikosini Anfield hapo tutafika mbali...akitokea yeyote ajifanye yeye ni zaidi ya timu basi ataodoka kama wengine na tutaedeleza mapambano....
Gini bana ni unsung hero wa Klopp..when he is song he is unstoppable...vs Ganaz, Vs Burnley ameonyesha some flashes za yule Gini tunaemjua...
Jamani, jamani....Napples. Napoli ni moto
Chelsea -winNewcastle - W
Napoli - D
Chelsea - D
MK Dons - W
Sheffield - W
• 7 points EPL
• 4 points UCL
Only my view
teh tehBaada ya kutembelea Nyuzi tofauti za Soccer hapa JF siku hizi kuna Washabiki wa aina Mbili:
1) Wale wanaomani uwezo wa Mchezaji anapokuwa na Mpira Mguuni na kuweza Ku-offer kinachopelekea positive results. (Mimi ni mmoja wapo)
2) Wale wanaoamini ubora wa Mchezaji asipokuwa na Mpira uwanjani ni muhimu zaidi akiwa anazurura huku na kule bila ya Mpira kwa reason ya kuwa anacover empty places.
News ..TetesiView attachment 1206251
[emoji106] Nilipitia juu kwa juu tu Mkuu..Mkuu kumbe unatembelea 90min.com ?
Yani hako kakijiwe kinapost Pumba tupu ili kuvutia Viewers wengi
Na kibaya zaidi wanaweka bonge la Headline lakini ukifungua ndaniyake kilichomo ndani ni tofauti na Headline.
teh teh
jesse lingard anawekwa kundi la pili na fans wa man utd.
Mimi ni mwana Liverpool kama wewe. Naples wako vizuri sana. Msimu uliopota kundi letu lilikua gumu. Kama utakumbuka Naples walitusumbua sana.Waliishia wapi msimu uliopita? Maana mlisema hayo hayo mnayosema sasa hivi,maneno yenu tunayakumbuka.
Nike kaweka mezani £100m inadiskasiwa by next month liverpool wanatoa majibuNews ..TetesiView attachment 1206251
Klopp on Alisson and Keita:
[emoji860]On Alisson: "Ali looks good & is improving, but we can't put pressure on him. The target was after the next international break, but we don't know.”
[emoji860]On Keita: “Naby is close. I think he could be in training when we come back from Napoli."View attachment 1206470